KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Huwa nashawishika kusema wanawake wa JF huko mnakoishi ni mabingwa kwani maskil mnayopata humu yanawasaidia ku run life kwani uhisi hamuwezi kudanganywa na mtu yeyote yule kuhusu swala la mahusiano!! Nazaidi kutokana na maujanja mnayopata humu mnajua shughuli si kitoto!!Hilo mimi ninalitambua!!Ila niuwezo sina ningetamani niwaoe wote niwe kama King Mswatti!Emungu bariki!!