Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Polisi wanaweza wasaidia kwenye chaguzi za marudio tu, uchaguzi mkuu awatoshi nchi nzima ni wachache.Hivi jiji la Mbeya lina askari polisi wangapi? Kwenye uchaguzi mkuu hakuna kuomba msaada wa polisi eneo jingine, kila mmoja anapambana na hali yake. Wananchi wakigangamala hakuna kura ya kuibiwa, labda mawakala wawe wazembe!
Sauti kidogo sjasikiaPolisi hawakuwepo?
Kwani uwezo wa kutambua kuwa wanatumikishwa wanao!!! Tuanzie hapo!Nakumegea siri , polisi wamechoka mno kutumikishwa .
Sugu hamna kituAliwahi kufanya nini na wapi ?
Eti Mbunge wa milele!!!! Kijana bado upo usingizinii pole sanaaView attachment 1499535
Hili kwangu ni jambo jipya kidogo, kwa wanawake wenye uwezo wa kawaida kumlipia fomu Mbunge mstaafu mwenye marupurupu kibao, si jambo la kawaida hata kidogo.
Ama kwa Hakika kutoa ni moyo.
Karibu sanaEti Mbunge wa milele!!!! Kijana bado upo usingizinii pole sanaa
Nadhani Ma Ded watakua wanatangaza matokeo huku familia zao wameshaziondoa mkoa husika na akimaliza kutangaza tu hapo hapo anaondolewa kwa kasi na kuhamishwa kituo cha kazi kabisa aisee.Huyo DED aambiwe mapema watu wanaiwinda shingo yake akileta ungese! Safari watu wanagawana mbao, huu upuuzi unawezekana tu kwenye chaguzi za marudio, lakini kwenye uchaguzi mkuu ambao kila mgombea, akiwemo wa urais naye anakuwa anapambana na hali yake, wananchi wakijipanga sawa sawa, DED na polisi wa Mbeya hawawezi kuudhibiti umati wa wana Mbeya wakiamua!
mkuu subiri dawa ikuingie vizuri,Sugu ni mhuni na mvuta bange tu! tena anajisifia kuongea na Bob hebu msikize hapo chini!!sijui kwanini wana Mbeya hawauoni uhuni wake!! na jela ashaenda! sidhani kama atakamilisha kujaza vipengele vyote kwa wakati huku tayari inajulikana ni mropokaji na hatarudi mjengoni kama DJ Makengeza, Halima, Esters, John na wengine na hata wakiingia kwenye upigaji kura bao la mkono la mkurugenzi ni halali yao! hatutaki tena kelele za wapinga juhudi mjengoni!!
Hata Obama mlimfagilia.Pamoja na Kudeki barabara na Mafuriko ya 2015 na Rais wa Mioyo yenu bado hamjifunzi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo uliposoma hukumtaja?Halafu we unamtajaga Mungu kama mshikaji wako mnayevuta bangi pamoja[emoji3][emoji3]
Huyu bila shaka kakimbia Mbeya Mjini , Saul ajiandae7 Julai 2020
Mbeya, Tanzania
WAZEE WA KIMILA MBEYA WAMCHANGIA DR. TULIA ACKSON, FOMU YA UBUNGE
Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi. Tulia Ackson Mwansasu akutana na viongozi wa kimila (machifu) walioongozwa na Chifu Mkuu wa Machifu wa Rungwe Chifu Joel Burton Mwakatumbula ili anapokwenda kutia nia wanampa kichache na kumtakia kila la kheri anapokwenda kugombea.
Source : MbeyaYetuOnlineTV
Huyo Tulia hata yeye mwenyewe anajijua hajikubali, uwezo wa kushinda hana na hashindi.Dr. Tulia ni mtu sahihi kwa ubunge wa Mbeya sasa
mkuu umepiga chura teke na kumuongezea mwendo umeeleza vizuri zaidi sayansi ya wizi wa kura na bao la mkono inavyotakiwa kufanyika practically kuhakikisha ile timu nzima ya waropokaji wanaopinga juhudi inabaki mtaani maana bunge ndio platform yao kubwa ukiwatoa mjengoni DJ Makengeza na kampuni yake kwanza watakosa pesa na nguvu ya kufanya uchochezi na watasambaratika!!Nadhani Ma Ded watakua wanatangaza matokeo huku familia zao wameshaziondoa mkoa husika na akimaliza kutangaza tu hapo hapo anaondolewa kwa kasi na kuhamishwa kituo cha kazi kabisa aisee.
Mbona unataka kutuchagulia vipi mkuu 😠😠[emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23] ..dah ila mnajifariji..sugu harudi hapo nyie muageni tu, jimbo linaenda kwa dada yetu tulia..
Tulia lazima ashinde hata kwa kuiba kura au kwa ubabe sidhani kama watamuacha naibu speaker ashindwe na watakuwa wamejipanga kutimiza hilo hata kwakutumia nguvu hadi watu walaleView attachment 1499535
Hili kwangu ni jambo jipya kidogo, kwa wanawake wenye uwezo wa kawaida kumlipia fomu Mbunge mstaafu mwenye marupurupu kibao, si jambo la kawaida hata kidogo.
Ama kwa Hakika kutoa ni moyo.
Kazi ipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]5 Julai 2020
Mbeya, Tanzania
CCM NYANDA ZA JUU KUSINI : Walalama na kusema tumechoka kuongozwa na upinzani.
Sasa CCM lazima tuchukue hatua dhidi ya wasaliti walio ndani ya chama maana subira ya kungojea imekuwa ndefu na lazima tufanye hima tusikose kupata kura nyingi za wananchi 2020 hapa mkoani Mbeya.
Source : MbeyaYetuOnlineTV