Uchaguzi 2020 Wanawake wa Jiji la Mbeya wamlipia fomu Mbunge wa milele wa jimbo hilo, Joseph Mbilinyi(Sugu) na kumpelekea nyumbani kwake

Uchaguzi 2020 Wanawake wa Jiji la Mbeya wamlipia fomu Mbunge wa milele wa jimbo hilo, Joseph Mbilinyi(Sugu) na kumpelekea nyumbani kwake

Wanasiasa hawashindwi kitu mkuu siku atapiga picha na walemavu na ombaomba aseme wamemchukulia fomu
 
Huyu Sugu mimi naona bora akubari kushindwa jimbo linaenda kwa Dr Tulia
 
Huwa navutiwa sana na IMANI ya makamanda wako radhi hata kudeki lami na kuzungusha mikono ilihali ukweli wanaujua kabisa hawapati kitu..
 
SUGU HAWEZI KURUDIA UBUNGE MBEYA 2020 HILO ASAHAU. HALIWEZI TOKEA NI KAMA JUA KUWAKA KUTOKEA MAGHARIBU KWENDA MASHARIKI. IT WILL NEVER HAPPEN.
 
Ndo madhara ya wanaume kuoa mke mmoja mmoja .
ona sasa mabinti wanazurura tu mitaani.
wanawake ni wengi kuliko wanaume.kila mwanaume akioa angalau wake wawili ama watatu wanawake wasingezurula hovyo namna hii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaleta maendeleo gani hapa Mbeya mjini?
Afadhali kaamua kucheza na akina mama, sisi akina baba (na vijana wakiwemo) tumezichoka siasa zake za kiarakati, tunacho taka ni maendeleo.
 
Una maana gani kusema Mbunge wa milele?

Huwa mnanishangaza sana Watu nyie, upande mmoja mnampinga Raisi kutamani kutawala milele na huku mkihoji kama hakuna Wananchi wengine wenye uwezo, vipi huko nako mnamshangilia Mtu anayetamani kutawala milele kana kwamba hakuna wengine wenye uwezo kama wake?
 
Back
Top Bottom