Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
Mungu ni upendoHalafu we unamtajaga Mungu kama mshikaji wako mnayevuta bangi pamoja😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ni upendoHalafu we unamtajaga Mungu kama mshikaji wako mnayevuta bangi pamoja😀😀
Karibu sana kamandaSi mchezo Mby wametisha...."mbuge wa milele"😂😂😂
Vituko haviishi hao ndio wanawake wa mbeya au Ni wafuasi wa machadema? "Eti mbunge wa kudumu"mbavu zangu mie[emoji23][emoji1787][emoji2960]View attachment 1499535
Hili kwangu ni jambo jipya kidogo , kwa wanawake wenye uwezo wa kawaida kumlipia fomu Mbunge mstaafu mwenye marupurupu kibao , si jambo la kawaida hata kidogo .
Ama kwa Hakika kutoa ni moyo .
karibu sanaVituko haviishi hao ndio wanawake wa mbeya au Ni wafuasi wa machadema? "Eti mbunge wa kudumu"mbavu zangu mie[emoji23][emoji1787][emoji2960]
Siasa bwana. Kwa hiyo mmewapa wamama pesa,halafu ionekane kama wao ndo wametoa kumbe Sugu ndo kawapa. Siasa za Bongo bwana.View attachment 1499535
Hili kwangu ni jambo jipya kidogo , kwa wanawake wenye uwezo wa kawaida kumlipia fomu Mbunge mstaafu mwenye marupurupu kibao , si jambo la kawaida hata kidogo .
Ama kwa Hakika kutoa ni moyo .
Si mchezo Mby wametisha...."mbuge wa milele"[emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea kutunga uongoSiasa bwana. Kwa hiyo mmewapa wamama pesa,halafu ionekane kama wao ndo wametoa kumbe Sugu ndo kawapa. Siasa za Bongo bwana.
HahahaaaHalafu we unamtajaga Mungu kama mshikaji wako mnayevuta bangi pamoja😀😀
Hata kama ingekuwa buku tatu kama posho yenu, lakini kitendo cha wanawake wa Mbeya kujitokeza kumlipia fomu Sugu, kuna ujumbe umetumwa kwa Betina!Kwani kuchukua fomu bei gani
Wale wa mtima nyongo watakwambia hao sio wanawake😅😅View attachment 1499535
Hili kwangu ni jambo jipya kidogo , kwa wanawake wenye uwezo wa kawaida kumlipia fomu Mbunge mstaafu mwenye marupurupu kibao , si jambo la kawaida hata kidogo .
Ama kwa Hakika kutoa ni moyo .
Mkuu mbona una hasira ungekuwa unamjua Mungu ukashabikia wanaccm?? Hakuna mtu wa Mungu wa kweli anaweza kuwa mfuasi w ccm. Hayupo.Halafu we unamtajaga Mungu kama mshikaji wako mnayevuta bangi pamoja😀😀
Rasi wa NEC 😅😅😅ndio maana ana kisirani na wananchi anajua ukweli wa 2015. Anaongoza nchi kwa uchungu sana hana cha kufanya.Pamoja na Kudeki barabara na Mafuriko ya 2015 na Rais wa Mioyo yenu bado hamjifunzi?😂😂😂
[emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23] ..dah ila mnajifariji..sugu harudi hapo nyie muageni tu, jimbo linaenda kwa dada yetu tulia..
Na wewe je, hujachoka kutumikishwa?Nakumegea siri , polisi wamechoka mno kutumikishwa .
huyu anabwia Sana bangi ya Malawi, inasafirishwa kupitia mto songwe na anaipokelea katumba, niliwahi kumuelekeza Sky Eclat matumizi ya bangi mbichi Ni mabaya ukichanganya na majani yake.Halafu we unamtajaga Mungu kama mshikaji wako mnayevuta bangi pamoja😀😀
Ninaweza intercept mbinu za wanasiasa. I wish watanzania wangekuwa na akili kama yangu hata CCM isingetawala kwa miaka 40 + sasa. Lazima wangetambua siasa ndo inayoamua plans katika nchi yao. Mazingira yana impact kubwa sana katika maendeleo ya binadamu.Endelea kutunga uongo