Uchaguzi 2020 Wanawake wa Jiji la Mbeya wamlipia fomu Mbunge wa milele wa jimbo hilo, Joseph Mbilinyi(Sugu) na kumpelekea nyumbani kwake

Uchaguzi 2020 Wanawake wa Jiji la Mbeya wamlipia fomu Mbunge wa milele wa jimbo hilo, Joseph Mbilinyi(Sugu) na kumpelekea nyumbani kwake

Ndo madhara ya wanaume kuoa mke mmoja mmoja .
ona sasa mabinti wanazurura tu mitaani.
wanawake ni wengi kuliko wanaume.kila mwanaume akioa angalau wake wawili ama watatu wanawake wasingezurula hovyo namna hii.
 
View attachment 1499535

Hili kwangu ni jambo jipya kidogo , kwa wanawake wenye uwezo wa kawaida kumlipia fomu Mbunge mstaafu mwenye marupurupu kibao , si jambo la kawaida hata kidogo .

Ama kwa Hakika kutoa ni moyo .
Vituko haviishi hao ndio wanawake wa mbeya au Ni wafuasi wa machadema? "Eti mbunge wa kudumu"mbavu zangu mie[emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
View attachment 1499535

Hili kwangu ni jambo jipya kidogo , kwa wanawake wenye uwezo wa kawaida kumlipia fomu Mbunge mstaafu mwenye marupurupu kibao , si jambo la kawaida hata kidogo .

Ama kwa Hakika kutoa ni moyo .
Siasa bwana. Kwa hiyo mmewapa wamama pesa,halafu ionekane kama wao ndo wametoa kumbe Sugu ndo kawapa. Siasa za Bongo bwana.
 
"Kwani boss ungesema tu kuwa mgombea wa ubunge Jimbo la mbeya mjini awapatia fedha wanawake wa chama chake kwenda kumuchukulia form ya kugombea ubunge"

Usingeeleweka?
 
Hata hapa wananchi wa Rondo huko Lindi wakimuunga mkono Bernard Membe kwa kurudisha kadi za CCM watasema wananchi hawa wamelipwa :

6 July 2020
Lindi, Tanzania

MEMBE baada ya kurudisha kadi ya CCM/tutajiunga na chama tutagombea uongozi wa juu tutashinda
Bernard Carmillus Membe akiwa kijijini kwake Rondo mkoani Lindi kusini mwa Tanzania aongea mazito baada ya kuiacha CCM kwa kurudisha kadi ya uanachama.
Video :
Bernard Membe na wazee wenzake warudisha kadi na kujivua uanachama CCM



Alihudumu chini ya Rais Jakaya Kikwete kama Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania kwa miaka 10. Pia alipata kuwa mbunge wa CCM jimbo la Mtama mkoani Lindi. Alihudumu kama afisa mwambata wa ubalozi wa Tanzania kwa miaka 10 huko Canada ktk bara la Marekani ya Kaskazini. Pia alipata kuwa Afisa Mchambuzi wa ripoti ktk Kurugenzi ya Usalama na Intelejensia wa Taifa TISS katika Ofisi ya Rais.

Hali ya kisiasa mikoa ya Lindi na Mtwara na kwingineko Tanzania kwa ujumla inaonesha waTanzania wapo tayari kwenda na Bernard Membe ili kuweza kuweka sawa masuala ya kama kilimo, uvuvi, mifugo, gesi na Maendeleo ya Watu.
Source : MwanaHALISI TV
 
Pamoja na Kudeki barabara na Mafuriko ya 2015 na Rais wa Mioyo yenu bado hamjifunzi?😂😂😂
Rasi wa NEC 😅😅😅ndio maana ana kisirani na wananchi anajua ukweli wa 2015. Anaongoza nchi kwa uchungu sana hana cha kufanya.
 
Endelea kutunga uongo
Ninaweza intercept mbinu za wanasiasa. I wish watanzania wangekuwa na akili kama yangu hata CCM isingetawala kwa miaka 40 + sasa. Lazima wangetambua siasa ndo inayoamua plans katika nchi yao. Mazingira yana impact kubwa sana katika maendeleo ya binadamu.
 
Back
Top Bottom