Natokea Kanda Maalum
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 749
- 1,310
Mdude wa mboziHapo Mbeya miaka 10 sugu inamtosha nataka agombee Mdude sasa kesi yake tumeongea na Hakimu atapata dhamana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdude wa mboziHapo Mbeya miaka 10 sugu inamtosha nataka agombee Mdude sasa kesi yake tumeongea na Hakimu atapata dhamana.
ungesema wanawake wa chadema ingeleta maanaView attachment 1499535
Hili kwangu ni jambo jipya kidogo, kwa wanawake wenye uwezo wa kawaida kumlipia fomu Mbunge mstaafu mwenye marupurupu kibao, si jambo la kawaida hata kidogo.
Ama kwa Hakika kutoa ni moyo.
Rais wa mioyo aliyejinyea si mnaye sebuleni kwenuPamoja na Kudeki barabara na Mafuriko ya 2015 na Rais wa Mioyo yenu bado hamjifunzi?😂😂😂
Wanatumikishwaa sana hao polisialiyekudanganya polisi wanatumikishwa nani . ..waliokuambia waambie waache kazi , wengine wataajiriwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo madhara ya wanaume kuoa mke mmoja mmoja .
ona sasa mabinti wanazurura tu mitaani.
wanawake ni wengi kuliko wanaume.kila mwanaume akioa angalau wake wawili ama watatu wanawake wasingezurula hovyo namna hii.
Namkubali Jose Mbili lakini kumuita wa mbunge wa milele mmhView attachment 1499535
Hili kwangu ni jambo jipya kidogo, kwa wanawake wenye uwezo wa kawaida kumlipia fomu Mbunge mstaafu mwenye marupurupu kibao, si jambo la kawaida hata kidogo.
Ama kwa Hakika kutoa ni moyo.
Mkuu unakuwa kama Sigara Kali sasaHapo Mbeya miaka 10 sugu inamtosha nataka agombee Mdude sasa kesi yake tumeongea na Hakimu atapata dhamana.
Hao Ni malesbians wa Cha DomoUnawaona hao ni wanaume?
aliyekudanganya polisi wanatumikishwa nani . ..waliokuambia waambie waache kazi , wengine wataajiriwa.
Walisahau wasubiri kutumbuliwa 'walizidiwa mbinu za midani'Polisi hawakuwepo?
Eeh! Ndo huyo Sasa, endelea verse kabisa 😂😂😂Sugu moto chini aah, sugu moto chini aah