Wanawake wa kabila gani wanaongoza kwa Miguu ya bia?( Miguu minene)

Wanawake wa kabila gani wanaongoza kwa Miguu ya bia?( Miguu minene)

c138c5922af68d1d61cd4ba4289d4432.jpg
 
Wasukuma orginal ni kila kitu!
Mguu wa bia, sura nzuri, uvumilivu, uchapakazi, sio wafukunyuzi wa simu za waume zao na bila kusahau hekima na utulivu... najivunia kuwa MSUKUMA. Mimi ni Msukuma orginal na sio ukoo wa yule mzee wa vijisent.
 
una shahada ya marketing nn
 
una shahada ya marketing nn
Hapana mkuu mi ni mhasibu ila haihusiani na asili yangu japo kiukweli licha ya mi kuwa na guu la maana, dada zangu ni balaa tupu chini mpaka juu!
 
Mi nawajua wabarabeigi... ushahidi wa picha ninao!!!
 
Kanda ya ziwa miguu ni [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
 
Back
Top Bottom