Wanawake wa kahama

Wanawake wa kahama

ninaijua kahama kuliko unavyoelewa, hata sasaivi nipo kahama, Mongo hotel hapa.
Mkuu nina mpango wa kuja huko, kufanya some marketing research.., vipi cost of living na unashauri nifikie wapi (planning to spend about four days monday to friday.., hotel/guest ipi inafaa na cost ni ngapi ?
 
ninachopenda kuwaeleza ni kwamba, mkija hapa muwe makini, hapa wanawake wameharibika kuliko unavyojua. miji ya kahama, geita etc, ni miji mibaya sana kwa ngoma...kule Geita nilimchukua mwanamke mmoja, mzuri sana wa sura, lakini huku chini, haki ya nani k imelegea halafu panaaa, yaani imesasambuliwa utafikiri ametoka kujifungua juzi....nilichoka kabisa. yaani wengi ni malaya, awe changu asiwe changu, yeyote utakayekutana naye hata hao wa nyumbani ukimtongoza anakubali...
 
Sidhani kama zinatosha, hiki ni kitu cha kujisiafia kweli, hivi unawajua wakimbiza mwenge wewe?

Wenzio wanafanya kwa siri kuliko hata uchawi.
 
Mtoa mada anayo hoja ya kweli kabisa hata kama mtamsakama huu ndo ukweli kuhusu kahama. Mimi kwa maoni yangu Kahama panahitaji kuangaliwa kwa jicho la pili! Nadhani kama si siku za hivi karibuni basi siku si nyingi pata lipuka na kuwa balaa kubwa la HIV + area. Sitoshangaa kusikia Kahama inakuwa bkb au ug nyingine ambapo watu walipoteza maisha na gonjwa hili la ukimwi miaka ya 90's
 
huku wamejaa wasukuma na wengine toka kigoma etc. nimeishi hapa kwa miezi miwili sana, huwezi amini, kila mwanamke ninayekutana naye mara ya kwanza na kumtongoza, anakubali. siku ya kwanza, nilimkuta mmoja kazini kwake, nikamwomba anipe tunda akakubali. ya pili nimekaa zangu naenda dukani nikamtongoza wa dukani akakubali, nimetongoza karibia wanawake kumi, wote wanakubali. nimelala na mmoja tu, wengine nilikuwa nawaahidi kuwadooo afu nalala mbele. uyo naye alikuwa mzuri sana, huwezi amini alikubali kwenda kupima tukapima kwanza ndo tukadooo. SWALI; HIVI WANAWAKE WA HUKU HUWA HAWAKATAI? AU IMENITOKEA MIMI TU......

Jamaa yangi baada ya kupima ilitokea nini usije ukasema ulikula kitu kavukavu
 
Mkuu nina mpango wa kuja huko, kufanya some marketing research.., vipi cost of living na unashauri nifikie wapi (planning to spend about four days monday to friday.., hotel/guest ipi inafaa na cost ni ngapi ?
kama unakuja huku, maisha ya hapa ni sawa tu na maisha ya sehemu zingine, kuna guest za elfu tano hadi elfu hamsini. mara ya kwanza nilifikia guest moja hivi ipo pale oposite na Police station (kwa usalama wangu),ni loji moja hivi inatiwa SAVANA, ukitaka hotel, ipo Rivermark, Mongo etc, bei zao ni za kawaida kabisa. mji huu ni mzuri sana kwa biashara kuliko miji mingine niliyowahi kuiona, kwasababu umezungukwa na Buzwagi na Bulyahulu gold mines, na mzunguko wa pesa ni mkubwa sana sana. actually, hapa kuna watu wana pesa ajabu, ukienda bank watu wamejaza marambo ya pesa ati. wewe kama unapeleka tu milioni tano twako bank, wenzio iyo ni ya kunywea chai. weekend wakitoka huko Kakola kuja kula weekend, karaha tupu. wakitoka migodini kuingia kwenye bar au hotel wanawezafunga mgahawa wengine. kule kakola wanaiba mchanga wa wazungu (wanashirikiana na wazungu walinzi masikini) kuuza mwanza, Geita na palepale kakola. ILA HAPA KUNA UKIMWI AJABU, UKIENDA KUPIMA NGOMA UNAKUTA FOLENI NDEFUUU, Wengi wanakuja kuchukua madawa ya kuongeza siku, na kupima ngoma waziwazi, si kama huko bongo. nakushauri ukija hapa usichukue demu.utanasa kwenye miiba.
 
Mtoa mada anayo hoja ya kweli kabisa hata kama mtamsakama huu ndo ukweli kuhusu kahama. Mimi kwa maoni yangu Kahama panahitaji kuangaliwa kwa jicho la pili! Nadhani kama si siku za hivi karibuni basi siku si nyingi pata lipuka na kuwa balaa kubwa la HIV + area. Sitoshangaa kusikia Kahama inakuwa bkb au ug nyingine ambapo watu walipoteza maisha na gonjwa hili la ukimwi miaka ya 90's
bora wewe umegundua, akili yako iko chapchap. wengine hadi sasaivi wako gizani, hawajui nini nilitaka kumaanisha au kutoa ujumbe. watz hupenda kutafuniwa tu kila kitu. mwenye masikio kama amesikia heri yake.
 
kakutana na wakimbiza mwenge walioko Kahama.
Wanahudumia migodi na miji kama Kahama, kakola, nzega, geita, Buckreef, na Tarime.

Wakikosa wanaenda hata kwa kwenye 'maduku'
wajasiriamwili sio? a.k.a bluetooth.ndio maana nakupenda we mwanamalundi
 
ACTUALLY kwa kukusaidia, ni kwamba mara nyingi huwa nafanya biashara za madini, nilikuja hapa kahama/Kakola kutokea Geita na Nzega. home ni dsm. nimeondoka dsm nina miezi kama sita hivi, nisingeweza kukaa vila mwanamke, ndio maana nikatafuta mademu. nilichokuwa nasema ni kwamba, mikoa mingine nilikokuwa napita wanawake si warahisi hivyo, lakini hapa amini usiamin, ukitia ndoana tu unavua samaki. kilichokuwa kinanifanya niwaache wengine ni kwamba, huu ni mji wa madini, kuna watu wana pesa sana, na ngono zipo nyingi sana, kwa wale wanaoijua kahama, jioni ukienda pale Rocky hill hotel, utaona namna machangu walivyo wengi....wanawake karibia wote hapa hata wasio machangu nafikiri wakiona mtu anaonekana kama mgeni au anazo, wanafikiri wananufaika awape pesa, kwasababu watu wa madini wamezoea kutapanya pesa kwa namna hiyo....sasa wewe mwenzangu, unasema labda nitakuwa shoga, shoga anatongoza wanawake, hahaha. acha mambo ya ajabu bwana.

kwenu nyie wanawake, ukitongozwa na mwanamme ukakubali bila kipingamizi, anaweza kukukimbia, mbona bila upinzani? au una ngoma? mbona mrahisi kihivyo?, pia kwako wewe unayesema sikupima, nilipima, na kadada hako nakaa nako hapa hotelini hata sasaivi kametoka nje tu, ila tulipima, na bado natumia kondom pamoja na kwamba nimepima....upo?

mwambie mwambie twakusikiliza mkuu.
 
kama unakuja huku, maisha ya hapa ni sawa tu na maisha ya sehemu zingine, kuna guest za elfu tano hadi elfu hamsini. mara ya kwanza nilifikia guest moja hivi ipo pale oposite na Police station (kwa usalama wangu),ni loji moja hivi inatiwa SAVANA, ukitaka hotel, ipo Rivermark, Mongo etc, bei zao ni za kawaida kabisa. mji huu ni mzuri sana kwa biashara kuliko miji mingine niliyowahi kuiona.
Thanks mkuu asante sana nataka tu kuja kuona kama naweza nikafanya biashara huko na kuona biashara tofauti, ndio maana takuja katikati ya wiki wakati watu wanafanya kazi. Unajua hii wilaya ni among wilaya kubwa Tanzania zenye mzunguko wa pesa mkubwa... (kwahio sio vema kumiss opportunity kama hii, huenda na mimi vimakombo kombo vikaniangukia)
 
ninaijua kahama kuliko unavyoelewa, hata sasaivi nipo kahama, Mongo hotel hapa.

Sasa kama majibu unayo kwanini unauliza? Kama umeamua kushare experience just say so. Wewe ulikuwa unafanya utafiti, possibly nao walikuwa wanamutest vile vile! Ulikuwa unahitaji mwanamke wa kupunguzia manii zako, why 10? Si ulikubaliwa na wa kwanza kwanini uendelee na wa 2 mpaka wa 10?

U r also not okay upstairs!
 
huwezi kujua kama huku upstairs kwangu niko ok, kwasababu hujawahi kunivulia chupi...laiti siku moja ungenivulia iyo anaweya yako, ungelia machozi ya furaha rundo, ungenipongeza na ungesema upstairs yangu iko ok, tena ok sana. tutafutane basi mrembo ili tujuane, si unajua tena!
 
Ingawa hili sio jukwaa la maDr. hivi kama maambukizi yametokea jana au juzi, ukienda kupima leo utatest positive?
 
Aaaaah rebecca weeeee!!kahama sitaweza kukusahau mimiiiii mambo mema ya kahamaa... Aaah marine hotel dot com
 
Ingawa hili sio jukwaa la maDr. hivi kama maambukizi yametokea jana au juzi, ukienda kupima leo utatest positive?
utakuwa negative. kwa mtu mwenye akili atagundua kuwa ni kweli niko kahama lakini mambo yaliyo mengi hapa ni ya kutunga. hasa hayo ya kutongoza wanawake kumi na kulala na mmoja. akili za mbayuwayu?....ila ujumbe umefika kwenu nyinyi mnaotembelea hizi sehemu za madini.
 
ninaijua kahama kuliko unavyoelewa, hata sasaivi nipo kahama, Mongo hotel hapa.

Binafsi Kahama ndio asili yangu,wazazi wangu wametokea huko.Na mimi mwenyewe nimekaa na kufanya kazi Kahama kwa miaka mitatu kwa hiyo ninaongelea kwetu japo kwa sasa siishi huko,ila naomba tu ujue kuwa generalization sio nzuri.Unaposema wanawake wa Kahama ina maana wote mpaka shangazi dada,na mama zangu wadogo wote wako kwenye kundi hilo ndio maana nikakuuliza unaijua Kahama.Ukweli utabakia palepale kuwa unapoenda kibiashara kwenye mji wenye pesa kama huo lazima wakujue tu,na ukumbuke kuwa wengi wanaouza k. Kahama ni wahamiaji ambao wapo pale kimaslahi zaidi,sasa wewe unatongoza mtoto kwao Nyihogo unategemea nini au unaenda ofisi ya halmashauri kutongoza unadhani watakukataa na wanajua kuwa wewe ni mfanya biashara?Usiwajumuishe wote kwani wapo wengi tu wanaojiheshimu,lakini kwa kuwa wauzaji ni wengi mjini basi ndio maana ukasema hivyo.Tembelea maeneo kama Nyahanga kwa watoto wa geti au Majengo uone kama utawapata kirahisi kama unavyotaka kutuambia hapa.Kuhusu suala la HIV lipo kila sehemu na halina mjadala ukienda hovyo tu unao.Kwa hiyo ninachokataa mimi ni kuwajumuisha wote na kusema wanawake wa Kahama.
 
ninachopenda kuwaeleza ni kwamba, mkija hapa muwe makini, hapa wanawake wameharibika kuliko unavyojua. miji ya kahama, geita etc, ni miji mibaya sana kwa ngoma...kule Geita nilimchukua mwanamke mmoja, mzuri sana wa sura, lakini huku chini, haki ya nani k imelegea halafu panaaa, yaani imesasambuliwa utafikiri ametoka kujifungua juzi....nilichoka kabisa. yaani wengi ni malaya, awe changu asiwe changu, yeyote utakayekutana naye hata hao wa nyumbani ukimtongoza anakubali...

Asante kwa kutoa tahadhari mkuu.Hata hivyo, uzoefu wako, kwa maelezo yako upo katika kutongoza, 10, ila kudoo...ni mmoja tu. Umejuaje kwamba via vyao vya uzazi vimelegea kama ulivosimulia?Just wondering....
 
siwezi kukujibu, jibu unalo wewe mwenyewe. niwieni radhi nyie ambao mmetokea huku, naomba nifunge mada, kwasababu nimeona imewakwaza wengi. asanteni kwa kuchangia.
 
Kama umethubutu kutongoza wanawake wooote hao na huna nia nao nina mashaka na jinsia yako. Yawezekana walikukubali kwa kukuona shoga yao.

Na huo uongo wa kupima ndio ukaduu ni wa kitoto. Sasa kwa taarifa yako, window period ni 3months

Window period 3 months-Noted
 
Kama umethubutu kutongoza wanawake wooote hao na huna nia nao nina mashaka na jinsia yako. Yawezekana walikukubali kwa kukuona shoga yao.

Na huo uongo wa kupima ndio ukaduu ni wa kitoto. Sasa kwa taarifa yako, window period ni 3months

bora mmushauri maana kishapotea huyo..
 
Back
Top Bottom