Wanawake wa Katavi wanalalamika wanaume zao kulala hadi 6 mchana. Ni uvivu au ni nini?

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Nimekutana na hii clip ya wanawake wa Katavi wakilalamika kuwa wakati wanawake wanaamka asubuhi kwenda shambani kufanya kazi, wanaume wanafanya tofauti.

Wanawake wanasema kuwa wanaume wamekuwa na tabia ya kuamka saa 6 mchana wakati wao wakihenyeka kwenye vibarua.

Wanaume wa Katavi mna shida gani? Kwanini hamtaki kufanya kazi?

Ni uvivu au ni nini?


Your browser is not able to display this video.
 
Wanaume kuna kauli yetu pendwa inaitwa "Trust the Process" kuna nyakati hatuna haraka na chochote kwenye maisha.

Mwanamke akikuona hauna haraka kama watu wengine anaona kama hauna Future kabisa.
Anataka aone unachangamka🤣.... Ama kuuza karanga au miwa ya jerojero.

Wengine hatupendi hizi kazi za ajabu ajabu bora nilale nikiwa nasikilizia Jackpot
 
Watumie muda huo kuwapa utamu hapo hapo nyumbani
 
Kwahali hii 50/50 inawezekana kweli???
 
Wanahifadhi guvu ya kwenda round 2 - 4

Jamii zetu zina mambo mengi sanaa na bado mengine yataibuliwa
 

Usiku wanashinda busy kuruka na vipembe....mchana ngachoka mimi
 
Hii ingekuwa dar hapa kungekuwa na comments 1000!!
 
Uvivu, tabia ya kutokujituma, pombe. Wapi raia wa stalike , ndio maana watu kutoka mikoa mingine wana tajatikia hapo wakati wenyeji wamelala
 
Wanaume wenye wanawake majembe ndiyo wanalala,lakini upande mwingine ni tofauti.
 
Mm nahisi suala la wanaume kukesha mauno kitandani ni chanzo cha wao kuwa wachovu sana asubuhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…