Wanawake wa kiafrika mnakoelekea siko. Hata wazungu hawavai hivi.

Wanawake wa kiafrika mnakoelekea siko. Hata wazungu hawavai hivi.

Mbona huyo kavaa vizuri tu.
Wewe utakuwa unasumbuliwa na age.

Na hapo inategemea picha kaipiga akiwa wapi.
 
Jamani nyie wanawake wa kidigitali mnatuharibia kizazi chetu cha baadaye. Huu uvaaji wenu mnawafundisha nini watoto wenu.

Si bora mkae uchi sasa kieleweke. Miaka mingi mlikuwa mkisingizia ni utandawazi. Kuwa wanaiga wazungu. Lakini huu uvaaji hata wazungu mmewazidi

ee8d0103420252389ffcb4aefed89f7e.jpg


Mjirekebishe basi,khaaaa. Wengne tunashindwa hata kupeleka watoto zetu sehem za starehe kwa hofu ya kukutana mimtu mizima ipo uchi.
Huyu Dada, alikuwa anararamika mtandaoni kwamba, sasa ivi wanaume wanakataa kuoa
 
Cyber crime inakuhusu, huyo binti amepiga picha ndani ya nyumba yake privately.., unless aliipost publicly sawa.., otherwise tutakushughulikia
 
we hujaenda us huko kuna club party wachumba wamechorwa tu km bikini wear hivi ila wako uchi mtupu.hakuna chupi wala bra,mida mibovu mkielewana ni chemba tu kitu na boxi
Wewe umeenda au unaleta story za movies kama sio za kuadithiwa
 
Back
Top Bottom