Salaam wa JF
Mimi kila siku uwa najiuliza kwa nini sisi Wanawake tuna huu wivu,
Kama mimi ni mdada na nina marafiki wa kiume yaani si wakimapenzi washkaji tu,
yaani mlisoma wote,
sasa mmoja wa rafiki kama akioa,siku mkakutana labda kwenye party na mke wake,au njiani atakuchunia na siku ingine anakutafuta ebwana ehh samahani sana nilikuchunia siku ile nilikuwa na wife yaani wife wangu anawivu sana,nikisalimiana na wadada ananuna siku nzima.
Kuna Kaka mmoja pia nilisoma naye,wakati tuko chuo tulikuwa washkaji ile mbaya,alafu tulikuwa tumezaliwa tarehe moja mwaka mmoja,hivo tulikuwa tunaitana pacha,
sasa baada ya kupotezana kama miaka 3,tukaonana town,pembeni akiwa na mchumba,alivyoniona kwa kweli alishidwa kuvumilia na kunihug,pacha vipi upo,yaani nimekutafuta kichizi,story story za salam baada ya kuisha,akaniambia,mshikaji ehh uyu mchumba wangu,sasa yule dada bwana alikuwa amekasirika nusura apasuke
mimi nikampa hongera,sasa nataka nimpe mkono yule dada kwa salamu akatoa nje,akaangalia pembeni hakunisalimia kabisa,
basi yule kaka aliona aibu sana akasema ahh mchumba naona kachoka sana leo,basi mie kuona hivyo nikaona niage mapema.
Sasa hii najua sio kwangu tu imewatokea na wengine,swali ni je sisi wadada wa KiTZ tunamatatizo gani jamani,kwa maana kama mumeo asiwe anasalimiana na wadada aliosoma nao au kukua nao mtaani kisa wewe.
Je huu wivu ni kutojiamini au ni nini?
Na hizi tabia pia wakaka wanazo sometym wakiwa na wake zao au girlfriend wanajifanya hawakujui kabisa.
Mlio nje mtupe data za huko je wazungu pia wako hivyo kama waBongo?