Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
India noma, heri Uarabuni mara mia, lakini kazi ni kazi, wafanyeje?
East or West, Home is the Best!
Ndio hivyo, mimi siwezi waamini wa Nigeria hata wawe na deal gani! Wale jamaa ni silent killers, wanaogopwa sana hata middle east, sababu ya uhuni wa hali ya juu.Hii siyo kazi Mkuu huku ni kudhalilishwa utu wao kunakofanywa na hawa wahuni wa Kinigeria kuwatumia hawa kupata pesa kwa njia haramu.
Mara nyingi embassies huwa na ujinga flani hivi, ukiwafwata.So sad!
Inaonekana kuchukuliwa passport zao iliwafanya wakubali na masharti waliyopewa ili warudishiwe.
Hivi je wangefuata zile taratibu za mtu aliepoteza passport in a foreign country, isingesaidia?
So sad!
Inaonekana kuchukuliwa passport zao iliwafanya wakubali na masharti waliyopewa ili warudishiwe.
Hivi je wangefuata zile taratibu za mtu aliepoteza passport in a foreign country, isingesaidia?
Kama upi? Hivi Tanzania wapo na Embassy India?Mara nyingi embassies huwa na ujinga flani hivi, ukiwafwata.
Yeah pia connection muhimu na labda huna sasa, ndio balaa hapo. Huwezi jifikisha from A to B. Na hata ubahatike ufike embassy, my friend, you'll struggle as if hawakutambui.Umeandika point kubwa sana Paula. Kweli hiyo ingewasaidia sana lakini unafika nchi ya watu humjui mtu wala hulijui jiji lenyewe pia labda na language barrier ya kuomba msaada ingekuwa ngumu kupata msaada. Niliwahi kuona clip kama hii pia kuhusu Wakenya waliopelekwa huko huko India.
Iko embassy ya Bongo. Kuna wakati waweza wapigia simu, wakakwambia watashughulikia shida yako, basi sivyo utangonjaa. Wadada wengi wanaopitia taabu especially Asian and Arab nations, hizo embassies za huko huwa wamelala sana, tofauti na ukiwa nchi za kizungu.Kama upi? Hivi Tanzania wapo na Embassy India?
Inabidi watu wawe wanafundishwa mambo ya msingi kama haya pale wanaporuhusiwa kusafiri nchi nyingine.Umeandika point kubwa sana Paula. Kweli hiyo ingewasaidia sana lakini unafika nchi ya watu humjui mtu wala hulijui jiji lenyewe pia labda na language barrier ya kuomba msaada ingekuwa ngumu kupata msaada. Niliwahi kuona clip kama hii pia kuhusu Wakenya waliopelekwa huko huko India.
Hili ni tatizo. Unateseka na msaada haupati sehemu ambazo ulitakiwa upate msaada.Iko embassy ya Bongo. Kuna wakati waweza wapigia simu, wakakwambia watashughulikia shida yako, basi sivyo utangonjaa. Wadada wengi wanaopitia taabu especially Asian and Arab nations, hizo embassies za huko huwa wamelala sana, tofauti na ukiwa nchi za kizungu.
Pia huwa kuna sheria nchi nyingi unaposafiri na kuenda nje, huko uendako kama kuna embassy yenyu, unafaa kuwajulisha pindi ukikinyaga Airport upande huo, ili wajue wewe ni nani, umekuja kwa mda gani, unaenda kufanya kazi gani na wapi utakapokuwa kazini, contacts za mwajiri wako na docs muhimu za kwako ili iwe rahisi kuku track down incase of any emergency. Sio kuenda tu, unapiga kazi ilhali hujulikani ka uko nchi hiyo. That's not advisable.Inabidi watu wawe wanafundishwa mambo ya msingi kama haya pale wanaporuhusiwa kusafiri nchi nyingine.
Pia inabidi mtu kabla hajasafiri ajue kama nchi anayoenda ina ubalozi wa nchi yake.
Na documents zote alizotumia kuomba pamoja na passport anatakiwa awe na Copy zake au azitunze kwenye email. Hata akinyang'anywa simu anaweza kuzipata. Hii inarahisisha kupata new passport mapema.
Hii itasaidia kama hawafungiwi ndani na kikwazo pekee wanachokutana nacho ni kuchukuliwa hizo passport.
Kutumika kimwili kwa faida za watu wengine inaumiza ni bora nitumike kimwili kwa faida yangu.
Inabidi watu wawe wanafundishwa mambo ya msingi kama haya pale wanaporuhusiwa kusafiri nchi nyingine.