BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
- Thread starter
- #21
Balozi zetu nyingi nchi za nje hazina sifa nzuri. Wao cha kwanza wanakiona kwa Mtanzania anayetaka msaada ni mhalifu au kajitakia mwenyewe na mara nyingi hazina msaada wowote.
Hili ni tatizo. Unateseka na msaada haupati sehemu ambazo ulitakiwa upate msaada.