Hili ni tatizo. Unateseka na msaada haupati sehemu ambazo ulitakiwa upate msaada.
Barozi zetu unazisikia au unazijua, ukipata shida uko nje hawanaga msaada kabisa. Utaskia tushawambia msije huku. Yani barozi zetu za ajabu kabisa.Kama upi? Hivi Tanzania wapo na Embassy India?
Kumbe wahusika kabisa wanajulikana. Lakini unakuta hawachukuliwi hatua yoyote.Barozi zetu unazisikia au unazijua, ukipata shida uko nje hawanaga msaada kabisa. Utaskia tushawambia msije huku. Yani barozi zetu za ajabu kabisa.
Madada wengi wanaopelekwa India toka Afrika wanaenda kuuzwa, akishahitimu na kurudisha pesa ya aliyempeleka, naye anapata mafasi ya kuwalaghai wengine waje wawe chini yake wajiuze. Hivyo yeye ndiye anakuwa kama boss.
Tena boss wa huo mtandao ndiye alikuwa raisi wa chama cha Waafrika wanaosoma India, ni Mnigeria.
Kuna NGO ilikuwa inafanya kazi ya kuwarudisha makwao, lakini wanakuwa wamenyanganywa passport, muda wa vinati umeisha wanaogopa kwenda mamlaka watakamatwa na pia wanajikuta hawana njia ya kutoka.Kumbe wahusika kabisa wanajulikana. Lakini unakuta hawachukuliwi hatua yoyote.
Nilikuwa nafuatilia data za human trafficking nimehizunika, maana sijui kama hii biashara itaenda kufika mwisho.
Haya maisha ni shida sana, sasa wanafahamuje kama imefika hiyo lakh 2.5,? Sijui kama huwa wanarudia maisha ya kawaida hawa, maana hata kama ni kujiuza ni bora iwe kwa hiyari. Sheria za India zimasababisha mwanamke kuwa kitu adimu hivyo wanaume hununua ngono kwa gjarama kubwa ndiyo maana hii biashara kwao inawalipa