Wanawake wa kibongo wanapenda zawadi za vitenge

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Ukitaka mtoto wa kiTz akukubali kwa nguvu zote we mpige kitenge. Hasa lile wax la p3 hapo utakuwa umemuweza. Mbususu na mabusu utapewa kama yote.

Sijajua kuna nini kwenye vitenge mpaka akina dada na akina mama wanakuvibali kwa namna hii.?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hii ni kali, ndo naskia leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…