masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
hivi kuna madhara kutumia njia hii binafsi
sipendi ya kawaida sitak kutanuka
watu wanafikiri wachg wanavyopenda uzungu (maendeleo) hawahusiki na genital mutilation. aisee hawa watu hawajaacha hiyo mila na shida kwenye uzazi ndio ushahidi. kuna mila hawaachi.Taarifa nilizozipata toka kwa kina mama, zinasema wanawake wengi wa kichaga wavivu wa Ku-push na hata kama akipushi hizo kelele zake basi wodi nzima itajua yaani ni, Yesuuuu na Maria, Kiruuuuuu za kutosha, Na wengi wao huwa wanachanika wanapojifungua kawaida.
Ndio sababu wengi wame amua kufanya operation.
Nawaomba wachaga waje kuthibitisha hii habari au yeyote anayefahamu hili jambo vizuri.
nawasifu wangoni katoto kadogo kanapush kilo nne fasta
hivi kuna madhara kutumia njia hii binafsi
sipendi ya kawaida sitak kutanuka
Ila ile wanasema ni kama mpira wa manati, unavutika na kisha unarudi to its original position masai dada.. Baada ya 40 days dudu inabana kama kawaida...
Umijuaje ati..?ππ