Wanawake wa Kichaga wanaongoza kwa kufanyiwa operation ya uzazi

Wanawake wa Kichaga wanaongoza kwa kufanyiwa operation ya uzazi

hivi kuna madhara kutumia njia hii binafsi
sipendi ya kawaida sitak kutanuka
 
pombe na kitimoto zinasabisha wawe na vitambi hivyo!RECTUS ABDOMINIS zinakuwa hazina nguvu kusukuma waache bia.
 
Si kweli. Suala la kujifungua kwa njia ya kawaida linategemea sana maumbile ya mwanamke. Suala la uzazi si la kufanyia mzaha hata kidogo!
 
Taarifa nilizozipata toka kwa kina mama, zinasema wanawake wengi wa kichaga wavivu wa Ku-push na hata kama akipushi hizo kelele zake basi wodi nzima itajua yaani ni, Yesuuuu na Maria, Kiruuuuuu za kutosha, Na wengi wao huwa wanachanika wanapojifungua kawaida.

Ndio sababu wengi wame amua kufanya operation.

Nawaomba wachaga waje kuthibitisha hii habari au yeyote anayefahamu hili jambo vizuri.
watu wanafikiri wachg wanavyopenda uzungu (maendeleo) hawahusiki na genital mutilation. aisee hawa watu hawajaacha hiyo mila na shida kwenye uzazi ndio ushahidi. kuna mila hawaachi.
 
Ni kweli kuna jamaa mmoja mchg aliachana na mkewe yaani mwanaume anarudi home anaambiwa mkewe yuko hosptl binafsi kufika anakuta mtoto nje ila marehemu tena kilichomuuna jamaa litoto lilikuwa dume. Pia rafikie mkewe alijifungua kwa operation.
 
aiseee wachaga ndo tabia zao mimi nawasaidia kujifungua na ndio kazi yangu kupush kwao ni shida
 
hivi kuna madhara kutumia njia hii binafsi
sipendi ya kawaida sitak kutanuka

Ila ile wanasema ni kama mpira wa manati, unavutika na kisha unarudi to its original position masai dada.. Baada ya 40 days dudu inabana kama kawaida...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom