Wanawake wa Kichaga wanaongoza kwa kufanyiwa operation ya uzazi

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
2,675
Reaction score
2,807
Taarifa nilizozipata toka kwa kina mama, zinasema wanawake wengi wa kichaga wavivu wa Ku-push na hata kama akipushi hizo kelele zake basi wodi nzima itajua yaani ni, Yesuuuu na Maria, Kiruuuuuu za kutosha, Na wengi wao huwa wanachanika wanapojifungua kawaida.

Ndio sababu wengi wame amua kufanya operation.

Nawaomba wachaga waje kuthibitisha hii habari au yeyote anayefahamu hili jambo vizuri.
 
CC Asprin & the like

Of course, lazima iwe hivyo sababu wakati wa kuwapa mimba tu makelele ya furaha yanakuwepo itakuwa kwenye uchungu bana(kidding)??

Nijuavyo mimi maendeleo ya technolojia yamesababisha kazi nyingi za mikono kufanywa kwa mashine, hii imesababisha miili kupungua uwezo wa kinguvu na uvumilivu!! Na ukweli usiofichika kuwa Kilimanjaro ni miongoni mwa mikoa yenye maendeleo makubwa nchini, watu wake hawafanyi zile kazi ngumu ngumu tena na hivyo miili yao imepungua uwezo nilioutaja hapo juu!! Hii imesababisha operation kuwa ni nyingi sana hasa za uzazi, vibinti vya Kichagga siku hizi havikatii tena ng'ombe majani, hawapiti tena kule miferejini kufungulia maji migombani!! Siku hizi unakuta mtoto kazi yake kubwa ni kusoma na kucheza game kwenye PC, jembe hajawahi kugusa hata kupalilia bustani hajui unategemea ataweza kupush mtoto kweli??

Si huwa mnawaona watoto wale (Wakichagga) wanavyokuwaga walainiii, teketeke yaani kumpachika mimba tu unamuonea huruma!!
 
Kabla opereshen haijaanza enzi hizo walikuwa wanajifungulia mdomoni?
 
mtoa mada mwongo sana..umewaona wachaga wawili waliojifungua kwa operation ukakonklud eti mnaongoza!!!!uongo mtupu
 
Taarifa nilizozipata toka kwa kina mama, zinasema wanawake wengi wa kichaga wavivu wa Ku-push na hata kama akipushi hizo kelele zake basi wodi nzima itajua yaani ni, Yesuuuu na Maria, Kiruuuuuu za kutosha, Na wengi wao huwa wanachanika wanapojifungua kawaida.

Ndio sababu wengi wame amua kufanya operation.

Nawaomba wachaga waje kuthibitisha hii habari au yeyote anayefahamu hili jambo vizuri.

No research, no right to speak! Halafu peleka jukwaa sahihi.
 
Of course, lazima iwe hivyo sababu wakati wa kuwapa mimba tu makelele ya furaha yanakuwepo itakuwa kwenye uchungu bana(kidding)??

Nijuavyo mimi maendeleo ya technolojia yamesababisha kazi nyingi za mikono kufanywa kwa mashine, hii imesababisha miili kupungua uwezo wa kinguvu na uvumilivu!! Na ukweli usiofichika kuwa Kilimanjaro ni miongoni mwa mikoa yenye maendeleo makubwa nchini, watu wake hawafanyi zile kazi ngumu ngumu tena na hivyo miili yao imepungua uwezo nilioutaja hapo juu!! Hii imesababisha operation kuwa ni nyingi sana hasa za uzazi, vibinti vya Kichagga siku hizi havikatii tena ng'ombe majani, hawapiti tena kule miferejini kufungulia maji migombani!! Siku hizi unakuta mtoto kazi yake kubwa ni kusoma na kucheza game kwenye PC, jembe hajawahi kugusa hata kupalilia bustani hajui unategemea ataweza kupush mtoto kweli??

Si huwa mnawaona watoto wale (Wakichagga) wanavyokuwaga walainiii, teketeke yaani kumpachika mimba tu unamuonea huruma!!

Cc: mshana jr miss chagga KikulachoChako
 
Last edited by a moderator:
Hamna ukweli wowote kwenye habari yako ni wachache tena wenye matatizo.
 
Back
Top Bottom