Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Habari wanna jf.
Wiki ilitopita nilienda bukoba kumtembelea jamaa yangu huko bukoba kilichonishangaza ni wanawake WA huko wengi wao wanatafta weupe kwa kujikoboa wary Hawaii ni washamba kumbe wakiwa ugenini wanaonekana kama wajanja .wanaowajua zaidi watueleze.
Pepsi Mirinda inahusu.....yaani ndivyo wanavyoitwa hawa watu. Utamuona juu mweupeee ila akivua nguo huko chini utafikiri Msudani vile, mweusiiiiiiiiiii!