Wanawake wa Kinyakyusa

Status
Not open for further replies.

acha uongo_kila mtu lazima achukua nafasi yake...baba ni kichwa cha familia imeandikwa
 
Kwa yeyote mwenye kufahamu tabia zao,watu hawa anijuze.Please!

akuna uniformity juu ya tabia za watu

kila mtu anatabia yake

uwez sema kabila A lina tabia hii,kabila W lina tabia flani..wakristu wapo ivi waislamu wapo vile...kila mtu anajibinjua kivyake

so usitegemee kupata formula kamili ya wanyakyusa wapo xqoxqoxo..
 
moto.... Kupiga nondo...... Kuchuna ngozi...... Biashara...... Uchakarikaji...... Utajiri

Acha kudanganya watu wewe ni kabila gani ambalo halina wahalifu?kila kabila lina mazuri na mabaya yake
 


hiyo shule/chuo ulichosoma na wanyakyusa pekee kiko wapi tz hii
 
Acha kudanganya watu wewe ni kabila gani ambalo halina wahalifu?kila kabila lina mazuri na mabaya yake

bila shaka ni mchagga huyu jamaaa.....nawafahamu zao
 
acha uongo_kila mtu lazima achukua nafasi yake...baba ni kichwa cha familia imeandikwa



kwan nimekataa wanaume wasiwe kichwa cha nyumba?

unless othwise unambie AUJANIELEWA NIMEMAANISHA NINI JUU YA UDUMELISM...thats wanaume wa kinyakyusa wanapenda sana udumelism..
 
kwan nimekataa wanaume wasiwe kichwa cha nyumba?

unless othwise unambie AUJANIELEWA NIMEMAANISHA NINI JUU YA UDUMELISM...thats wanaume wa kinyakyusa wanapenda sana udumelism..

nimekuelewa sana...ila nafikiri wewe ni mwanamke unayependa kuendesha familia kwa matakwa yako
 

Rose Muongozo hapo kwenye nyekundu.
 
proud kyusa hata msemeje,na hakuna madem wanajiheshimu na kuchakarika tz km kyusa.kaoe mchaga au mrangi ujute kuzaliwa

ujaulizwa makabla mengne tetea hoja kwa hoja acha kutoa MAPOVU kama umelamba sumu
 
Kutokana na hii thread nimegundua pia wanapenda kulipuka na kukasirika haraka. Humu ndani wanawake na wanaume wa kichagga wanasemwa kila kukicha lakini wala husikii m2 kakasirika wala kurushiana maneno, inawezekana ukweli unauma.
 
Rose Muongozo hapo kwenye nyekundu.

wanapenda kujibust
kujiona wao ndo wao
wanajua kila kitu
wanataka waongoze kwa kila sekta
kujifanya wamjiniiii kumbe mweeeeeeeeeeeee katoka kyela jana
 
sio kwenye nyekundu tu,yaani muongo mwanzo-mwisho

angekuwa mtu mwingine ningetoa mwongozo mwanzo mwisho...BT BCOZ ITS U IGWE AHH apana stoi mwongozo...lipia ada kwanza...maelezo bure MWONGOZO UNALIPIA
 
Kusema kweli hawa jirani zangu ni wakarimu sana na wana tabia nzuri.
Mapungufu waliyonayo ni ya kawaida ambayo kila binadamu anayo..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…