Wanawake wa Kinyakyusa

Wanawake wa Kinyakyusa

Status
Not open for further replies.
Mkuu thibitisha madharau yangu kwa watu wa mbeya'soma vizuri pale juu'nimezaa nao'mimi ni mkwe mbeya'kusema hawajui kukataa ni uongo?au thibitisha kuhusu guest bubu za bei rahisi'nimekaa pale mbeya sana mkuu'usinisome sivyo

Sio wote! Ila wengi HAWAWEZI kukataa. Wao kugawa ni kitu cha kawaida. Kwa yeyote. Si shemeji, binamu, rafiki au yeyote yule!
Nasemea uzoefu.
 
washari km wanawake wa kihaya...THOU I HATE GENERALIZATION BT MAJORITY NDO WAPO IVO..sjui kwa vile wana maumbo makubwa...nishawai kupanga nyumba moja na wahaya then wanyakyusa wana swaga flan ivi za kibfu bifu wanapenda kuwa kiongoi/msemaji mkuu/director ata km akil yake inamfaa awe mfagizi au mlinda geti...WENGI WAO WASHARI..then si wachoyo wa ile MAMBO....AFU WANAPENDA MAFAGIO ao acha tu

m ready 4battle.

hili lina ukweli fulani, i had a frnd with such character, mgomvi,mbea,mbinafsi,wakujistukia na mshari balaa, halafu hawajiamini
 
Hawana msamiati "hapana/sitaki". Makaka mia na kidogo. Kila mtu wa Mbeya ni ndugu yake.
Ukioa umeolea watu. Sina hamu nao.
 
pole ndugu yangu.....huo ukarimu ulikuwa una maana yake ati...si bure....

nasikia katika makaka unaotambulishwa kuna wengine sio, ni waume wenzio hao.....

unakuta mgeni kakaribishwa nyumbani, kapewa na hifadhi ya siku 2, 3..

mume ukatambullishwa kuwa ni shemejio huyo.......

lol..unakuta kilichojificha nyuma ya pazia....kumbe ni mume mwenzio...lol..

sijui wameacha siku hizi haka kamtindo?
Haha hatufanyi hako kamtindo mkuu unatuonea wanawake wa kinyakyu
 
Hawa watu ni hard worker sana, mwanamke wa kinyakyusa namlinganisha na mwanaume wa kichaga, ukitaka ku prove, nenda Zambia, malawi. botswana zimbabwe na SA utawakuta huko ndio wafanyabiashara wakubwa. hawapendi biashara za kukaa sehemu moja, kwa hiyo kama una mipango ya kuoa uwe tayari kumruhusu kusafiri na biashara zake.
Kama ni mfanyakazi, kwa kweli wako very firm and you cant twist them, ni wakarimu na wana heshima sana kwa watu wanaowaheshimu.
Kusema hawajui kusema no, naweza kukubali, but binafsi na kwa uzoefu wangu, hakuna hata kabila moja ambalo wanaweza kusema no kwa kizazi hiki.
Mkuu Mayenga, fanya utafiti halafu uje hapa utuambie kama kuna kabila umeomba halafu ukakataliwa, vinginevyo ntakuomba ukaoge na magadi
hahaaa...akaoge na magadi ...INA maana ana nuksi au ""?
 
Wanawake wakinyakyusa wana ndevu sijajua kama ni Genetic ama vipi?
 
Wanyakyusa wamezidi bw. Acha kupinga ukweli. Babu wa Louwongo (Mwaisapili) ni mnyakyusa, waimbaji gospel (wasanii) wengi ni wanyakyusa, wahubiri wengi kina Mwakashenge ni wanyakyusa......

Ila hili la kuua wenye vipara nina rafiki yangu alipangiwa kazi Mbeya, siku moja akiwa dukani jioni aliona watu wakimfatilia. Alipowasikiliza vizuri akakuta wakipiga bei kichwa chake (ana kipara kama ngoma ya kitongoji). Alikimbilia polisi na tangu wakati huo ukimwambia WANYAKYUSA anapiga magoti na wakuwaombea dua mbaya.
hahaaaa hahaa
 
sio kuchachamaa mkuu,na suala la kupenda chini nafikiri ni tabia ya mtu binafsi na kamwe kabila la mtu halihusiki kwenye hili...wivu mm ndio sijakuelewa kabisaa unamaanisha nini kiongozi wangu...sula la kupanga frem kwa mnyakyusa ni mapatano yenu_kwa hiyo terms and condition apply
daaahh "" nimefuatilia mjadala...wewe igwe unaubishi wa asili "" aisee.." muungwana huwa anakubali mapungufu yake na kuangalia alipojikwaa ili kama kuna kisiki aking'oe " siku zijazo akijakupita hapo asiweze kujikwaa tena ...inamaana watu wrote waliotoa shuhuda zao Humu wana wasingizia ”? niwachache mnoo waliotoa shuhuda zao ambazo zinawasifu dhidi yenu" wengi mnooo"" wamesema kuwa mnatabia " ovu "
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom