Wanawake wa Kinyakyusa

Wanawake wa Kinyakyusa

Status
Not open for further replies.
Enzi nasoma Iyunga Sec. kule Mby niliwahi kumlamba mke wa mtu kwenye 'matrimonial bed' wakati jamaa yake yupo safarini. Ilikuwa hatari sana lakini salama. Kwa hawa jamaa ni jambo la kawaida tu na wala hawana woga wanapoamua kula tunda.
 
Enzi nasoma Iyunga Sec. kule Mby niliwahi kumlamba mke wa mtu kwenye 'matrimonial bed' wakati jamaa yake yupo safarini. Ilikuwa hatari sana lakini salama. Kwa hawa jamaa ni jambo la kawaida tu na wala hawana woga wanapoamua kula tunda.

ujinga wako ndio unaokuongoza kwamba kila mtu anayeishi mby ni mnyakyusa,...Iyunga mby...haya bana
 
tabia haiendani na ukabila wala uzuri wa mtu yoyote! ukitaka kujua tabia ya mtu jitahidi kujenga urafiki wa karibu.
 
washari km wanawake wa kihaya...THOU I HATE GENERALIZATION BT MAJORITY NDO WAPO IVO..sjui kwa vile wana maumbo makubwa...nishawai kupanga nyumba moja na wahaya then wanyakyusa wana swaga flan ivi za kibfu bifu wanapenda kuwa kiongoi/msemaji mkuu/director ata km akil yake inamfaa awe mfagizi au mlinda geti...WENGI WAO WASHARI..then si wachoyo wa ile MAMBO....AFU WANAPENDA MAFAGIO ao acha tu

m ready 4battle.
duh, hii ingekuwa kule ninge mwaga radhi hapa!, anyway, naunga mkono hoja..
 
Wanyakyusa wamezidi bw. Acha kupinga ukweli. Babu wa Louwongo (Mwaisapili) ni mnyakyusa, waimbaji gospel (wasanii) wengi ni wanyakyusa, wahubiri wengi kina Mwakashenge ni wanyakyusa......

Ila hili la kuua wenye vipara nina rafiki yangu alipangiwa kazi Mbeya, siku moja akiwa dukani jioni aliona watu wakimfatilia. Alipowasikiliza vizuri akakuta wakipiga bei kichwa chake (ana kipara kama ngoma ya kitongoji). Alikimbilia polisi na tangu wakati huo ukimwambia WANYAKYUSA anapiga magoti na wakuwaombea dua mbaya.

Kwani ukidanganya unapata credit? Usilete porojo ya mambo usiyoyajua. Heshimu jamii nyingine. Usilishe sumu watu. Nani kakwambia Mbeya nzima wanakaa wanyakyusa? Wanyakyusa wanatoka Kyela na Rungwe, sasa wewe wazungumzia Mbeya ipi? Chunya, Mbozi, Kyela, Rungwe, Mbeya mjini, Ileje, au Mbarali?
 
sijui kwa miaka hii ila tabia ya kutanguliza wenzao na kubaki na majumba ndo zao, angalia kule smatola, nonde, ghana, forest, mabatini almost kila nyumba haina mwanaume wote walishatangulia mbele za haki.
 
Kwa yeyote mwenye kufahamu tabia zao,watu hawa anijuze.Please!

wanawake wote ni sawa,,shida inakuwa iko katika saikolojia yako tu..mungu aliuba watu wote kwa usawa ....uzuri wa mtu uko katika macho ya mmiliki wa huyo mtu.we kwako kibaya kwa mwenzako kiko poaaaaa
 
mmefika hapo\?...........HUKU NDO KUJENGA NCHI?....NYERERE ALIKUWA MKALI SANA KWA MAMBO YA KIJINAG KM HAYA JAPO WATU WANACHANGIA.......BABA WA TAIFA ALISEMA IFIKE MAHALI MTU AKIKUULIZA KABILA LAKO WE MWAMBIE MIMI MTANZANIA........SASA HAYA MAMBO YA KU-GENERALISE KIASI HICHO YANATOKA WAPI......MIMI BINAFSI NAWAFAGILIA SANA KYUSAS KWANI WANAFIT KILA IDARA HAYO MAONI MENGINE NI YALE MAKABILKA PINZANI KM............
 
Kwa yeyote mwenye kufahamu tabia zao,watu hawa anijuze.Please!


wanawake wa kinyakyusa wanapenda sana kumtawala mwanaume,wanapenda kutawala familia na hawapendi ndugu wa mwanaume,wanaachia mzigo kirahisi ata kwa shemeji zao(rafiki zako),wakabila,wanajiskia(hii ni kwa wote me na ke)..uzuri wao sio wachoyo na wanajaua kuigiza heshima.hawa wanawezana wenyewe kuoana ukiingia humo utajuta
 
sijui kwa miaka hii ila tabia ya kutanguliza wenzao na kubaki na majumba ndo zao, angalia kule smatola, nonde, ghana, forest, mabatini almost kila nyumba haina mwanaume wote walishatangulia mbele za haki.
labda unamaanisha ndugu zako wa mach........
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom