kweli kumbe hamjui mambo mengi ya kwenu.
Kwa yeyote mwenye kufahamu tabia zao,watu hawa anijuze.Please!
kwa ww unayajua ya kwenu mkuu
ni wacha Mungu, wadumisha mila na desturi wazuri
kaka zao ndio shida waluga ila wanajifanya wa mbele sana
Najua hata historia ya isale sembuse hayo madogo madogo.
ni wacha Mungu, wadumisha mila na desturi wazuri
kaka zao ndio shida waluga ila wanajifanya wa mbele sana
Sijui wewe ni kabila gani lakini ni wale wale tu tena inawezekana NI MSAFA TU AU MKINGA NDIYO MAANA INA KUUMA SANA LEO UMEAMUA KULIPUKA KWA UONGO MAMA!!!
Nijuavyo mimi ni kuwa ukiacha mambo mengine yote yawe constant(ceteris peribus), mwanamke wa Kinyakyusa akikupenda anaweza akawa anakununulia vitochi kila siku kama mpo kijijini!...
Wana Ukarimu na upendo wa dhati na huruma nyingi(hata kama ni ya kuchonga!)...kama mpo mjini anaweza akakufadhili kuishi kwake bure hata mwezi mzima, kisha baada ya hapo tafuta kazi msaidiane kulipa pango!...
In general, ni wapole, ila maisha ya kisasa yanamuathiri kila mtu jamani, tuwe wakweli!
Kwa miaka hii huwezi kupata hata 60%purity ya kabila lolote lile tanzania kutokana na miingiliano ya makabila na mbadiliko ya maisha! mTUakiongelea kabila, basi afanye reference ya miaka ya 80 kushuka chini!
Nawasilisha!
Wanyaki hawauzi ndizi alafu tambua kuwa siyo kweli wanaweza kukaa msibani kwa muda mrefu kama huo................... arafu huko kwenu mbona wanaweza kuzaa na wakwe zao mmmh!!
Watake radhi!! tatizo la mibongo tunajenelolaizi sana mambo hebu angalia namna wanavyosemwa vibaya Wanawake wa kipare na Kimachame lakini mimi nazifahamu "kapo" zenye mke mpare na nyingine Mmachame tabia ni tofauti na wanavyosemwanimezaa nao'hawajui kukataa'kila mwanaume wanamwita shemeji'wanazukwa na guest kibao za bei rahisi'ni wachapa kazi
Naomba nikurekebishe. Kwa mujibu wa Google Search Engine hakuna kabila linaloitwa WASAFA...ni WASAFWA!...right?.Sijui wewe ni kabila gani lakini ni wale wale tu tena inawezekana NI MSAFA TU AU MKINGA NDIYO MAANA INA KUUMA SANA LEO UMEAMUA KULIPUKA KWA UONGO MAMA!!!
some how!!@kataviUna experience nao??
46 huyu nilenae wa 91 na sitoishia hapo@okadaMMh shoga, umeshajaribu wangapi????
kwan nimekataa wanaume wasiwe kichwa cha nyumba?
unless othwise unambie AUJANIELEWA NIMEMAANISHA NINI JUU YA UDUMELISM...thats wanaume wa kinyakyusa wanapenda sana udumelism..
haya sasa_na hili nalo litapita!