Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Ni kweli sikatai kumpa mwanamke hela, lakini kwa mkeo isiwe kama mifumo ya kibiashara inakata hamu na matamanio.Wanawake hawahawa wa Moshi wanaopenda Ngono kuliko ata kula au unaongelea wapi mkuu. Mimi pia mwanzoni nilikua napata tabu ila nkaja kugundua akisikia tu una vibunda basi analoa muda wote we kazi yako inakua kumbinua tu style unazotakaπ
Cc Binti wa zamaniHaika lawere umetikisa jukwaa la jf jumapili ntakuja hapo Azania front nikuonyeshe chat
Wanyamwezi wanawaza Ngoma tuu na kutikisa mafutaa
Ovaaa
Ovaa.
ππππWanyamwezi ushirikina wanapenda kuliko chakula..!! Halafu ushirikina wao wa mapenzi huwa hawaamini km wanapendwa mpk akuroge..!!
Kabisa, katika makabila yenye wanawake wasiopenda kujishughulisha. Sidhani kama wanyamwezi watakuwepoKwenye kuchapa kazi naona kama mtoa mada kawaonea
Kuna celebrity yeyote wa mfano?wavivu kupindukia na wanapenda socery Nsamba
Wanawake wapi duniani hawapendi ngona na pesa?Wanawake hawahawa wa Moshi wanaopenda Ngono kuliko ata kula au unaongelea wapi mkuu. Mimi pia mwanzoni nilikua napata tabu ila nkaja kugundua akisikia tu una vibunda basi analoa muda wote we kazi yako inakua kumbinua tu style unazotakaπ
Pia naona hivyo, tofauti na hapo itakua wanawake wote Tz ni wavivu aseeKabisa, katika makabila yenye wanawake wasiopenda kujishughulisha. Sidhani kama wanyamwezi watakuwepo
Hakuna madanguro?Nwakorea,
Nilishangaa kuona wanaume wanaamini katika limbwata pia, kiufupi hawaamini mapenzi yanaweza kwenda pasipo kupulizaWanyamwezi ushirikina wanapenda kuliko chakula..!! Halafu ushirikina wao wa mapenzi huwa hawaamini km wanapendwa mpk akuroge..!!
HaswaaHao ni potential
πππNilishangaa kuona wanaume wanaamini katika limbwata pia, kiufupi hawaamini mapenzi yanaweza kwenda pasipo kupuliza
Niliona kawaweka na wasukuma pia πPia naona hivyo, tofauti na hapo itakua wanawake wote Tz ni wavivu asee