Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 8,423
- 29,012
Ule msemo "mngoni mtume pesa atazifikisha salama ila sio mkeo"..๐๐๐๐ Hivi tunapenda sana kuzagamuana??
Kusini mmekithiri, na hapo wanavuma wangoni ila hujakutana na wayao, funga kazi kutoka tunduru ๐
Nisiwapondee sana mmenilea