Wanawake wa kinyamwezi ni wavivu na wanapenda Sorcery (Nsamba)

Wanawake wa kinyamwezi ni wavivu na wanapenda Sorcery (Nsamba)

Muwe mnaombea vyakula vyenu! Mara nyingi bora uwe eneo la tukio unazuga kama humuamini muandaaji tu! Haya mambo si mchezo aisee! Nazidi kuogopa😱

Maombi pia yanangukia palepale pasipo na definition, kwa mfano nani anajua tunavyoomba ndivyo inavyotakiwa? Na nani aliweka standards za maombi? Ukitazama waombaji nao kila mtu ana namna yake, hata hao wanaotulisha uchafu bado wanaombea kwanza hiyo mikojo ikafanye kazi anayotaka!

Nani mkweli sasa hapo sorcerer au mlokole au padri au shekhe au mwanamalundi???
 
Aanh mkuu mimi sio mchungaji mimi ni muumini tu🤣

Najua ndio maana tunaenda hatua kwa hatua kwenye ukweli japo tumemezeshwa na kukaririshwa mambo mengi sana!

Ukitazama waombaji nao kila mtu ana namna yake, hata hao wanaotulisha uchafu bado wanaombea kwanza hiyo mikojo ikafanye kazi anayotaka!

Nani mkweli sasa hapo sorcerer au mlokole au padri au shekhe au mwanamalundi???
 
Lets say unaumwa tumbo then ulishike uombe liache hapohapo utasemaje? Au unaombea kufaulu jambo fulani ambalo unajua ni gumu sana kwa uwezo wako! Ukapambana kulipmbea sana! Ukalivuka unaweza kuiitaje hii?

Issue kwa kwamba unathibitishaje ni huo mshiko ndo umetibu, na sio kitu kingine? Na huko kufaulu unaprove vipi ni hayo maombi na sio uwezo wako uliokuwa una mashaka nao awali? Na unajuaje hilo jambo uliloliombea lilikua gumu kabla hujalifanya?

Na kabla hujaliombea? Unajuaje kwamba ulivuka kwa hayo maombi, na sio uwezo wako wa kulipush kwa mtazamo wa kwamba ni gumu ukaandaa akili yako huku unaomba na ukavuka kwa kuwa "wala" halikua gumu ilikua ni perception yako kabla hujalivamia kulifanya?
 
Issue kwa kwamba unathibitishaje ni huo mshiko ndo umetibu, na sio kitu kingine? Na huko kufaulu unaprove vipi ni hayo maombi na sio uwezo wako uliokuwa una mashaka nao awali? Na unajuaje hilo jambo uliloliombea lilikua gumu kabla hujalifanya?
Nathibitishaje wakati sijatumia njia nyinyine tofauti ha hiyo! Mfano una njaa, ukanunua mandazi na ugali, ukachagua kula maandazi, halafu mtu akuulize unathubitishaje maandazi ndio yameondoa hiyo njaa yako?
Na kabla hujaliombea? Unajuaje kwamba ulivuka kwa hayo maombi, na sio uwezo wako wa kulipush kwa mtazao wa kwamba ni gumu ukaandaa akili yako huku unaomba na ukavuka kwa kuwa "wala" halikua gumu ilikua ni perception yako kabla hujalivamia kulifanya?
Ninaamini tu, na sio ishu ya ujuaji! Mfano kipindi niko chuo kuna somo la falsafa nilikuwa nasoma linaitwa critical thinking, kwa hpande wangu nililiona ni gumu sana! Kuna formula zilikuwa zinaletwa mpaka nasema nini hiki lakini! Nikasoma kwa uwezo wangu ulipoishia nikamshirikisha na Mungu kwa maombi sio ya kawaida! Nilivuka, mtihani ulikuwa mgumu sana lakini sio kwa uwezo wangu tu!
 
Back
Top Bottom