Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 8,423
- 29,012
Umekaataa ila cha msingi kuna kitu umekubali kuwa wayao wamewazidi kasi 😁😁. Performance review watatoa wadhoefu ila nachojua wangoni mnawaogopa wayao sanaWayao hawajui mapenzi ya kitandani, ila wanaanza mapema wakiwa wadogo, si wanawekwa msondo na unyago.
Ila kwenye mapenzi ya kitandani, Wakunyumba hatuna mpinzanii.
😂😂😂