wanawake wa kipare

wanawake wa kipare

Inawezekana wa huko ila sababu yako haikutosha kumfanya mtu aonekane wa huko....hahahaha mie MPARE BY NATURE BWANA

nilijua tu kipare chako kipo deep sana hata kama ungejifunza ingekuchukua muda mrefu sana.mi kihurio we wapi
 
kwani, ukiambiwa ukipita njia hii utatumia dk 5
na ukipita hii utatumia dk 20 na wote mnaenda sehemu moja...
utatumia njia gani?

ha ha ha nitachagua hiyo rahisi ya kuelekea same....
 
Wivu sana uhuni + ubinafsi wakikutana wao kwa wao kwenye shughuli yoyote ni kilugha tu.
 
Back
Top Bottom