Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Si Kweli.
Ni kweli pretender halafu wanafunika kwakupiga magoti
hahha kweli nyie hamuwajui wssukuma! hyo kupiga goti ni mila zao tu! sio pretender hata kidg
Unatujua wasukuma au unatusikia jamiiforum?Ni kweli pretender halafu wanafunika kwakupiga magoti
Unatujua wasukuma au unatusikia jamiiforum?
Rubiikimimi[emoji85]
Shida mtu kama hana hizo sifa kwa kupinga tu hajambo..!Unatujua wasukuma au unatusikia jamiiforum?
Rubiikimimi[emoji85]
Onesha hapo juu uchochez wangu ni up mkuuThreads za kichochezi kama hizi zinawachokonoa watu kuonekana wabaya...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuona unachekelea tuhhahhha nimchka na ya flora mbashaa aic!hahahahhha !ila kuna ukweli! sidhan km ni wanyenykev namna hyo mamila yao ya kiajabu ajabu ya kunynyekeaga vivulana vidg zimtufikisha hapa!nakasirika sana!
Unataka uhakika gan wakati yule mama ni msukuma wa sengelema mwanza kijiji cha busisiSina hakika kama mama Janeth ni msukuma, so can't say, ila nimeongelea 'wanawake wa kisukuma'
Kwahiyo ulitaka awe mchaga ndo ukenue meno siyoAcheni threads za kipuuzi. Unataka kumuingiza Janet kwenye kabila la Wasukuma kwa faida gani?
Sent using Jamii Forums mobile app