Wanawake wa kisukuma wana hekima na wapole sana mfano mama Janeth Magufuli

Wanawake wa kisukuma wana hekima na wapole sana mfano mama Janeth Magufuli

Ni mambo ya mfumo dume tu,ila nakwambia ukienda kwa wajita ndio utajuta. Mm kuna shemeji zangu hadi hatuongei kwaajili ya huo upuuzi. Watataka hadi nao uwafulie, wakitoka misele uwapokee loh! Na wakati mi mwenyewe nakuwa nimetoka zangu job nimechoka na yangu.



hahahahahahahah!balaa
 
Wanawake wa kisukuma tumebarikiwa kuliko wanawake wote duniani.
 
Back
Top Bottom