MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Ni mambo ya mfumo dume tu,ila nakwambia ukienda kwa wajita ndio utajuta. Mm kuna shemeji zangu hadi hatuongei kwaajili ya huo upuuzi. Watataka hadi nao uwafulie, wakitoka misele uwapokee loh! Na wakati mi mwenyewe nakuwa nimetoka zangu job nimechoka na yangu.
hahahahahahahah!balaa