Au wewe ndo frola mwenyewe maana jina lako ni la kule kulenacheka ulipomkoti flora mbasha
anha sawa
Hahaaa una uhakika na ukisemacho kweli? Kwan saiv umeolewa mwanike wanehahahahahhahahah! sio mimi!siwez kuolewa mara2 kama flora aic
Ni kabila gan mkuu hebu nisaidie maana mimi nishawahi kufanya kazi ya ujenz kwao na huyo mama Janet pale busisi sengelema, naomba nisaidie nikabila ganHuyo Mama janeth magufuli na huyo magufuli wote sio wasukuma
Pua yake imekuwaje kwan wewe hujui kama wasukuma asili yaoni ethiopia na rwandaMama pua yake inanipaga mashaka sana anyway lakini mwisho wa yote mama mstarabu sana
Chanzo cha ukimiya wake ni makez bora ya kisukumasiri ya mtungi aijuae kata huwezi kujua chanzo cha ukimya wake.
Hahaaa una uhakika na ukisemacho kweli? Kwan saiv umeolewa mwanike wane
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wa kunyenyekea wavulana na watu wa kiume kwa ujumla iko mkoa wa Mara. Nenda kwa wajita na wakurya ndio utajionea maajabu.hhahhha nimchka na ya flora mbashaa aic!hahahahhha !ila kuna ukweli! sidhan km ni wanyenykev namna hyo mamila yao ya kiajabu ajabu ya kunynyekeaga vivulana vidg zimtufikisha hapa!nakasirika sana!
Hao wa kunyenyekea wavulana na watu wa kiume kwa ujumla iko mkoa wa Mara. Nenda kwa wajita na wakurya ndio utajionea maajabu.
Mm ni msukuma ila hiyo kwetu haipo. Na wadogo zangu wa kiume wananiheshim sana.mh mwanza ipo sana nikiendaga vitoto vya miaka 20 vinalazimisha uvipigie magoti!kanatokea huko kanakutuma maji ukimletea upige goti had amaliz mie huwa nagoma
Mm ni msukuma ila hiyo kwetu haipo. Na wadogo zangu wa kiume wananiheshim sana.
Ni mambo ya mfumo dume tu,ila nakwambia ukienda kwa wajita ndio utajuta. Mm kuna shemeji zangu hadi hatuongei kwaajili ya huo upuuzi. Watataka hadi nao uwafulie, wakitoka misele uwapokee loh! Na wakati mi mwenyewe nakuwa nimetoka zangu job nimechoka na yangu.BAS ni koo na koo!mie had ukweni shemeji analazimisha nimpigie goti!i hate tht! alafu wasukuma wanawadharau sana sana wanawake jaman!hata umkute ana elimu gan anamdharau mnoooo mwanamke!hv huwa ni nn!