Wanawake wa kwanza kuzaliwa (first born) sipatani nao na mahusiano hayadumu. Je, ni mimi tu au tupo wengi?

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Hello mambo JF Crew!!

Hatari sana, wanawake first born imetokea sipatani nao kabisa mahusiano hayadumu nawapata kirahisi mno ila naishia kunyandua tunaachana wananikorofisha ujeuri, kibri na dharau nyingi, wanapenda kunyanduliwa hovyo hovyo hasa wenye majina E, A nikisikia herufi hizi nakata stimu natongoza kinyonge sana ntamnyandua kwa shingo upande na mimi herufi zangu ni S na W
Shazi Wadiz.

Na tukiachana hatuachani jumla viporo kama kawa na hata wakiwa wameolewa Bado wananipenda mimi kuliko waume zao.

Je hii hali tupo wengi au ni mimi tu, leteni visa vyenu pia

Wajumbe Ndugu Rakims na Kamanda Mshana Jnr et Al,. tafadhari ufafanuzi

Wadiz,
 
First born girls ni kama deputy parents. So wanajichukulia nafasi yao ni kama wazazi.

Wakiwa katika mahusiano wanataka kucontrol kila kitu ili waweze kufanya majukumu yao kama wazazi. Hii inatokana na nature ya malezi wanayopitia watoto wa kwanza kupewa majukumu kusaidia wazazi so hujiona ni wakubwa na wana mamlaka juu wa wadogo zao kama wasaidizi wa wazazi.

Mtu anaeingia katika mahusiano na binti ambaye ni first Born kwao huwa anakutana na mtu mwenye tabia ya kulazimisha kupangia majukumu, kuagiza, kuamrisha, kupenda kucontrol maamuzi na kuwa na last say.

Watu au wanawake wa namna hii huwa wana aina yao ya wanaume ambao hupenda hizi treatments na huwa wanablend. Wewe sijajua ni wa aina gani ila naotea kama kwenu sio last born basi ni mtoto wa pili kutoka mwisho au ni mtoto wa kati kuzaliwa. Watoto wa kati kuzaliwa huwa hawapendi kuwa under control , watoto wa mwisho wanapenda kupewa treatment za mtoto wa mwisho bila wao kujijua matokeo yake ndio hujikuta wanavutiwa na first born ila wanatamka au kujifanya hawapendi kuwa controlled now ila kimoyo moyo wanapenda kuwa chini yao na kuhudumiwa.

Watoto wa kati huwa hawapendi sana kupelekeshwa na wana maamuzi ya kipekee yao sana. So huwa hawawezi kublend na first borns kwasababu ya treatments zao kama wazazi.
 
Hahaha umemaliza. We are the platoon commanders. Halaf hatutakagi mambo ya kipuuzi puuzi. Kama una mambo ya kijingajinga huwezi kudumu na sisi. Tuko very focused. Aisee, nisikudanganye, mimi ni mkalii sana. Mkali mno. Hata baba yangu ananiogopa kwa misimamo yangu na maza.
 
Back
Top Bottom