First born girls ni kama deputy parents. So wanajichukulia nafasi yao ni kama wazazi.
Wakiwa katika mahusiano wanataka kucontrol kila kitu ili waweze kufanya majukumu yao kama wazazi. Hii inatokana na nature ya malezi wanayopitia watoto wa kwanza kupewa majukumu kusaidia wazazi so hujiona ni wakubwa na wana mamlaka juu wa wadogo zao kama wasaidizi wa wazazi.
Mtu anaeingia katika mahusiano na binti ambaye ni first Born kwao huwa anakutana na mtu mwenye tabia ya kulazimisha kupangia majukumu, kuagiza, kuamrisha, kupenda kucontrol maamuzi na kuwa na last say.
Watu au wanawake wa namna hii huwa wana aina yao ya wanaume ambao hupenda hizi treatments na huwa wanablend. Wewe sijajua ni wa aina gani ila naotea kama kwenu sio last born basi ni mtoto wa pili kutoka mwisho au ni mtoto wa kati kuzaliwa. Watoto wa kati kuzaliwa huwa hawapendi kuwa under control , watoto wa mwisho wanapenda kupewa treatment za mtoto wa mwisho bila wao kujijua matokeo yake ndio hujikuta wanavutiwa na first born ila wanatamka au kujifanya hawapendi kuwa controlled now ila kimoyo moyo wanapenda kuwa chini yao na kuhudumiwa.
Watoto wa kati huwa hawapendi sana kupelekeshwa na wana maamuzi ya kipekee yao sana. So huwa hawawezi kublend na first borns kwasababu ya treatments zao kama wazazi.