Wanawake wa leo ni majasiri

Wanawake wa leo ni majasiri

ofisa

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2011
Posts
4,340
Reaction score
4,069
Nimekuwa ni mtu mwema sana kwa mke wangu na matokeo yake ni kama nimekuwa ni kero kwa wasichana /wanawake wengi.

Wengi unawaambia nimeoa wanaheshimu mahusiano yaani hakuna wa kunisumbia ikifika muda wakazi kuisha, lakini niseme tu wanawake wa sasa ni majasiri,just imagine unakutana na jirani yako sehemu, na wewe upo na mtu wako, mnasalimiana tu basi imetoka,na mnakutana zaidi ya mara 5 mpaka mnaanza kuona kuwa hata huyu nae ukitaka utapata.

Unamkuta mwanamke yupo na mtu mgahawani /bar/guest/batani ,kesho yake mnakutana nae mtaani/ofisini anakukazia macho ili kuona kama unamtolea habari zake au umepiga kimya.akishagundua kuwa umepiga kimya anakureta karibu kama na wewe unamtaka useme tu.

Leo nimeombwa out,nimechomoa hadharani kwa kumuambia sisi wenye watoto weekend tunaangalia watoto wekend wakabembee wapi,alichonijibu sikumsikia.

Kwa kifupi wanawake siku hizi majasiri mno,hebu tueleze ni mambo gani unaona wanawake ni majasiri kwako katika mahusiano.
 
Nimekuwa ni mtu mwema sana kwa mke wangu na matokeo yake ni kama nimekuwa ni kero kwa wasichana /wanawake wengi,
Wengi unawaambia nimeoa wanaheshimu mahusiano yaani hakuna wa kunisumbia ikifika muda wakazi kuisha,lakini niseme tu wanawake wa sasa ni majasiri,just imagine unakutana na jirani yako sehemu,na wewe upo na mtu wako,mnasalimiana tu basi imetoka,na mnakutana zaidi ya mara 5 mpaka mnaanza kuona kuwa hata huyu nae ukitaka utapata.
unamkuta mwanamke yupo na mtu mgahawani /bar/guest/batani ,kesho yake mnakutana nae mtaani/ofisini anakukazia macho ili kuona kama unamtolea habari zake au umepiga kimya.akishagundua kuwa umepiga kimya anakureta karibu kama na wewe unamtaka useme tu.
Leo nimeombwa out,nimechomoa hadharani kwa kumuambia sisi wenye watoto weekend tunaangalia watoto wekend wakabembee wapi,alichonijibu sikumsikia.
kwa kifupi wanawake siku hizi majasiri mno,hebu tueleze ni mambo gani unaona wanawake ni majasiri kwako katika mahusiano.
Hashindwi kukupa mbususu na akakulipa wewe mwanaume 200k kaweke mafuta ya kwenye gari
 
Ikichomoka anaishika na kuichomeka tena. Kama mume wake ingetokea aone anajiua mara moja.
 
Back
Top Bottom