Wanawake wa Mbeya wanajua sana kulia msibani

@SimaraUsinikumbushe kuna siku tumelia weeh afu akatokea mmama mmoja eti "ila wanyakyusa tunalia jamani; laiti machozi yetu yangekuwa yanafufua" ni tuliangua kicheko

Hiyo ya kulia huku unaongea inanikumbusha bibi yangu: (hadi machozi yamenitoka mweeh). Naweza nikajikaza kwa wote ila sio nikimwona bibi analia
 
Exactly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikifika usiku wa giza nene. Yoyote utakayemgusa twende kazi. Ila Mbeya usije ukaleta mapenzi ya ambaruti ya tigo kwa mwanamke og wa Mbeya. Ukijifanya imeteleza ikaingia kutigo ujue ndio mwisho wa mapenzi na mwanamke wa Mbeya. Kwingine huku chezea tani yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…