Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yego itachinjirwe Ing'a Majita eyo Abhagasi bhatakulila sana no rufu lwo olubha lutanogele!Dah umenikumbusha nilihudhuria msiba mmoja wa jamaa yangu huko Murangi kijiji cha Musanja ilikuwa balaa, yaani mpaka unaona kuna usanii.
Mkuu lugha hiyo haipandi, nimefanya sana kazi huko majita.Yego itachinjirwe Ing'a Majita eyo Abhagasi bhatakulila sana no rufu lwo olubha lutanogele!
🤣Wajita wanalia kwa kuongea hata machozi hayatoki.
Siku moja nilishangaa mmoja simu yake iliita akaacha kulia. Akapokea simu sauti kavu kama si yeye alokuwa analia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Anicet kila ukikoment huwa siangalii komenti yako bali ninaaangalia avatar yako ninacheka mpaka machoz jaman wana jf punguza vituko jaman.Mie huwa nachoshwa tu na namna kilio kinavyokatika. Yaani ghafla unakuta watu wanacheka
Sent using Jamii Forums mobile app
ExactlyNi taratibu za misiba kwa mikoa ya mbeya, iringa na njombe. Hata kama watu wamelia wametulia akija ndugu ambaye alikuwa amechelewa kufika basi analianzisha kwa mbali kabla ya kuingia ndani kwa wafiwa ambao nao hujumuika nae kwa kipindi kifupi kisha wanatulia na maongezi mengine yanaendelea.
Namaanisha huko Ujitani ng'ombe asipochinjwa Msibani Wanawake hawatoi ushirikiano wa kutosha ktk kulia. Na Kilio hakinogi kama hakuchinjwa Ng'ombe!Mkuu lugha hiyo haipandi, nimefanya sana kazi huko majita.
Hii avatar yako mkuu😂😂😂😂😂Mie huwa nachoshwa tu na namna kilio kinavyokatika. Yaani ghafla unakuta watu wanacheka
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mkuu hii avatar yako kiboko[emoji23] [emoji23]Mie huwa nachoshwa tu na namna kilio kinavyokatika. Yaani ghafla unakuta watu wanacheka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa io ndo mnanisema huku naona au vp!viande😂 😂 😂
Sasa nimeyaamini maneno yako Eyce mdogo wangu!!