Wanawake wa Mbeya wanajua sana kulia msibani


Yaani kwenye kulia tu tumebarikiwa
 

Kwenye kusindikiza utashangaa anasafiri mmoja wasindikizaji sita[emoji23][emoji23]
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Nimecheka kwa sauti.! Kuna siku Eyce aliwahi niambia wanyakyusa wanajua kulia msibani nikawa siamini mpaka nilivyokutana na hii thread na comment yako.!

Tatizo ubishi tu af uwe usiwe unaniuzia kesi siku ingine 😊😊😊
 
kwa nini kusiwe na nyimbo za kulia tu, mc anaweka hizo badala ya watu kulia
 
Tatizo ubishi tu af uwe usiwe unaniuzia kesi siku ingine 😊😊😊
πŸ˜‚ πŸ˜‚
Sasa mdogo wangu nisipokuuzia wewe nitamuuzia nani?? Hii ni yako tu huna kimbilio.!
 
Hii nilikua sifahamu asee
 
Duuh,uzuri wa Mbeya Iringa wanawake wake sio wachoyo kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…