Wanawake wa Mbeya wanajua sana kulia msibani

Wanawake wa Mbeya wanajua sana kulia msibani

Usinikumbushe kuna siku tumelia weeh afu akatokea mmama mmoja eti "ila wanyakyusa tunalia jamani; laiti machozi yetu yangekuwa yanafufua" ni tuliangua kicheko

Hiyo ya kulia huku unaongea inanikumbusha bibi yangu: (hadi machozi yamenitoka mweeh). Naweza nikajikaza kwa wote ila sio nikimwona bibi analia

Yaani kwenye kulia tu tumebarikiwa
 
Vipi kwenye kuaga mgeni kama anakwenda mbali unaweza kucheka nakuaga tangu siku mbili kabla anakusindikiza anakuaga mpaka ndani ya gari tena anasimama nje anakuaga mpaka gari inaanza kuondoka anawataja wote huko unakokwenda kama unakuja dar hata viongozi anakutajia msalimie magufuli,mchungaji mwambosa ,masanja mkandamizaji,poul makonda hadi raha kama sio karaha mbeya nyoooookoo nawakubali

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwenye kusindikiza utashangaa anasafiri mmoja wasindikizaji sita[emoji23][emoji23]
 
kwa nini kusiwe na nyimbo za kulia tu, mc anaweka hizo badala ya watu kulia
 
Tatizo ubishi tu af uwe usiwe unaniuzia kesi siku ingine 😊😊😊
😂 😂
Sasa mdogo wangu nisipokuuzia wewe nitamuuzia nani?? Hii ni yako tu huna kimbilio.!
 
Ikifika usiku wa giza nene. Yoyote utakayemgusa twende kazi. Ila Mbeya usije ukaleta mapenzi ya ambaruti ya tigo kwa mwanamke og wa Mbeya. Ukijifanya imeteleza ikaingia kutigo ujue ndio mwisho wa mapenzi na mwanamke wa Mbeya. Kwingine huku chezea tani yako
Hii nilikua sifahamu asee
 
Duuh,uzuri wa Mbeya Iringa wanawake wake sio wachoyo kabisaa
 
Back
Top Bottom