Wanawake wa mikoa ya Mpanda, Kigoma, Rukwa na Ukerewe Mwanza ni 100% Wife Material

Mimi ni mkerewe lakin kigoma niliwaelewa sana

yaan niliona jamaa wanawaacha wanawake wao huko kigoma wanaenda mikoa mingine kutafuta na wanawakuta wake zao wapo na hawana mimba,wengine walikuwa wanaenda chuo tayar wakiwa wameoa na wake zao wakawa sometimes wanawatumia pesa za matumiz japo kigodo
 
Asante Mkuu kwa Kunielewa na ukiona GENTAMYCINE nasema Jambo jua nimeshajihakikishia pakubwa na pasi na shaka.
 
daima nitasimama na wasingida wenzangu..wanyaturu oyeeee
 
Leo Kazi ipo hapa, ila ukiona GENTAMYCINE kaja na Jambo hapa jua kwa 101% liko kweli na nimeshalifanyia sana Utafiti.
1. Kigoma ni uchawi
2.mpanda na rukwa ni uchawi
3.ukerewe ni uchawi + shemeji kupiga mke wa brother ni kitu cha kawaida.
4. mwanza, ni wife material ila unatakiwa kumpeleka church aokoke na ajue mwanadamu anaweza kuishi bila mitishamba, na pia hakuna mwanamke wa kisukuma unaweza kumtongoza akakataa. in my experience.
 
Bro hao wakerewe unawajua au unawasikia?

Mkerewe na mjini ni kama wazaramo.
 
1. Kigoma ni uchawi
2.mpanda na rukwa ni uchawi
3.ukerewe ni uchawi + shemeji kupiga mke wa brother ni kitu cha kawaida.
4. mwanza, ni wife material ila unatakiwa kumpeleka church aokoke na ajue mwanadamu anaweza kuishi bila mitishamba, na pia hakuna mwanamke wa kisukuma unaweza kumtongoza akakataa. in my experience.
Uchawi nini ?.mkoa gani hakuna uchawi?

USSR
 
mikoa yote kuna uchawi, na kuna wachawi. ila kuna mingine imezidi. Ukala, sumbawanga/Mpanda, Tanga, Tunduru n.k.
Kuna mkoa nipo huku kuna maeneo wanalalamika uchawi balaa yaan walimu waliopangwa hayo maeneo kutwa kulalamika uchawi wa maeneo husika
 
Back
Top Bottom