Wanawake wa Nyeri, Kenya: Hatutotoa unyumba kwa waume zetu mpaka wampigie kura Uhuru Kenyatta

Wanawake wa Nyeri, Kenya: Hatutotoa unyumba kwa waume zetu mpaka wampigie kura Uhuru Kenyatta

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598

Wanawake kadhaa kutoka Nyeri, Nchini Kenya, wamesema kuwa hawatotoa "Unyumba" kwa waume zao kama hawatompigia Kura Uhuru Kenyatta .

Wanawake hao wamefikia uamuzi huo baada ya kubaini kuwa Waume zao wengi wamekuwa wakipeana taarifa za kutokumkubali Uhuru Kenyatta na kupanga kutokumpigia Kura hata kidogo, kitu ambacho kimewafanya na wenyewe wafikie maamuzi mazito ya kuwanyima "unyumba" waume zao hao kama Tarehe 26 hawatoweka "Tik" kwenye jina la UHURU KENYATTA

Kauli hizo zilitoka katika Mkutano wa wanawake hao na Mwakilishi wao ambaye ni Mbunge Pia, RAHABU MUKAMI, ambapo waliapa kuwa, ifikapo Tarehe 25 Usiku, wanawake hao watabania "NUNU" zao ili waume zao wakione cha moto na hata kuamka mapema ili wakapige Kura Tarehe 26 na wampigie Uhuru Kenyatta.
 
Wanawake WA bongo ndio mapumbavu kbs hawa wakenya wamejitambua. Hongera sana.
 
Waje huku kwetu Rombo, Kilimanjaro, Tanzania tutawapa kama nyie mnaringa
 
Wnawake wa Kenya wakati mwingine ni wapumbavu sana.

Hii tabia ya kujiaibisha kwa kutumia miili yenu mtaiacha line?

Hapa ndipo Mwanaume anaitwa Mwanaume na Mwanamke anaitwa Mwanamke.

Akili, Akili, Akili.
Hakuna mwanaume mwenye akili mbele ya "nunu"

Unaruhusiwa kubishana na akili yako kadri uwezavyo.
 
Wanawake wengi mapepo yanawasumbua akiri zilishasafiri siku nyingi.
 
Hehehe pumbavu zao
Natumai mke wangu hatasoma huu ujinga, na atajuaje nimempigia nani kura

Siasa zetu halafu ipo Odinga naye kaja na kauli eti wanawake waonyeshe chupi zao. Hehehe sasa naye Uhuru anataka kutumia wake zetu kutafuta kura.
 
Wajinga utawajua tu. Yaani wanamfurahisha huyo kibuyu ati watampa kura Kenyatta siku hiyo. Sasa, tarehe mlioweka ya kubana nunu zenu ni 25 kuamkia 26 siku ya tukio. Je, mtachukua karatasi ya kura kitandani kwenu wazee wakiisha weka tick kwa Kenyatta ndi mufungue hizo miguu zenu? Mutafungua miguu zenu na kura anakula Odinga
 
Wnawake wa Kenya wakati mwingine ni wapumbavu sana.

Hii tabia ya kujiaibisha kwa kutumia miili yenu mtaiacha line?

Hapa ndipo Mwanaume anaitwa Mwanaume na Mwanamke anaitwa Mwanamke.

Akili, Akili, Akili.
Wanaume wao ndio wana matatizo.
Trust me...watatekeleza!
 
Hehehe pumbavu zao
Natumai mke wangu hatasoma huu ujinga, na atajuaje nimempigia nani kura

Siasa zetu halafu ipo Odinga naye kaja na kauli eti wanawake waonyeshe chupi zao. Hehehe sasa naye Uhuru anataka kutumia wake zetu kutafuta kura.
mke wa MK254, a.k.a 'Dikiteta Wanyuri' njoo hapa kwa dharula! Hehe. Jombaa jitayarishe kukaukiwa kau kau hadi pale Uhunye atakapoapishwa! 😀 😀
 
Wanawake wa kenya kumbe wapuuzi hivyo!michepuko dili apo!
 
Back
Top Bottom