Wanawake wa Nyeri, Kenya: Hatutotoa unyumba kwa waume zetu mpaka wampigie kura Uhuru Kenyatta

Wanawake wa Nyeri, Kenya: Hatutotoa unyumba kwa waume zetu mpaka wampigie kura Uhuru Kenyatta

Nyeri Women ni wrong number... wakisema wamesema la sivyo watapita na makagaree
 
You're just fools. Badala ya kumuomba Mungu awasaidie kuleta amani akili zenu ziko kwenye nyuchi zenu? Mungu awasaidie sana na kuwarehemu
 
Hehehe pumbavu zao
Natumai mke wangu hatasoma huu ujinga, na atajuaje nimempigia nani kura

Siasa zetu halafu ipo Odinga naye kaja na kauli eti wanawake waonyeshe chupi zao. Hehehe sasa naye Uhuru anataka kutumia wake zetu kutafuta kura.
Hii ilinipita! Alisema waonyeshe chupi zao wapi na kwanini?
 
Kwa wakina Asha mpango wa kando wameisha? Ukinuna mwenzio anachanua...
 
Back
Top Bottom