sasa mrembo..Wanaume wao ndio wana matatizo.
Trust me...watatekeleza!
Hehe makagaree ni sheng ya Nyeri?Nyeri Women ni wrong number... wakisema wamesema la sivyo watapita na makagaree
Nambie...sasa mrembo..
Hii ilinipita! Alisema waonyeshe chupi zao wapi na kwanini?Hehehe pumbavu zao
Natumai mke wangu hatasoma huu ujinga, na atajuaje nimempigia nani kura
Siasa zetu halafu ipo Odinga naye kaja na kauli eti wanawake waonyeshe chupi zao. Hehehe sasa naye Uhuru anataka kutumia wake zetu kutafuta kura.
Mara ndo nini kwa kiswahili?.Mkitubania tutaenda kwenye pale kisili ambapo unyumba wauzwa pale shilingi 300 tu....pia wanakupa na mara