Wanawake wa Online Dating Mbona Waongo???

They said I was fine, they wanted me to date them and just party, but they were not interested in settling down, get married and become wives

it sound like wanakuona buzi hivi na sio mume....

wanawake wakiona una sifa za kuwa mume,wanakugombania na ndoa wanataka asap....
jitahidi uimprove

it sound like wanakuona buzi hivi na sio mume....

wanawake wakiona una sifa za kuwa mume,wanakugombania na ndoa wanataka asap....
jitahidi uimprove

Hapo kwenye red labda ni kweli

They said I was fine, they wanted me to date them and just party, but they were not interested in settling down, get married and become wives

Now l get it! Settling down equals bearing children, scrubing the floors no partying for women, just men alone; who will want that!
Try to make ndoa n settling down be fun achana na classic ndoa ndipo utawapata hawa wadada wa dot.com! Usiwe na reference ya mama yako when looking for a woman; kwanza tafuta love then ndoa iwe ni 'l can't live without this love' haya mengine ya kujua kupika sijui nini myayafanyia kazi taratibu after role kina AshaDii wapo na mouthwetting recipes humu ndani!

Hapo kwenye red labda ni kweli

mkuu maelezo yako inaonesha ni kweli unaingia kama buzi so unawakimbiza

next time fanya hivi...

tafuta baa ya kawaida sio aghali
akija mwache aagize chochote kile hata soda au maji,usiagize wine
usafiri mpe lift au muache tu arudi na usafiri wake aliokuja nao
basi au kibajaj,poa tu

usimpe pesa,usiulize kuhusu weekend wapi,au kuhusu sex
zungumza story za kawaida tu,uone

siku moja nilijishusha hadhi nimekuja na bajaj demu akaingia mitini

They said I was fine, they wanted me to date them and just party, but they were not interested in settling down, get married and become wives

wee mwenyewe utata mtupu! Jiangalie na wewe!

They said I was fine, they wanted me to date them and just party, but they were not interested in settling down, get married and become wives
au unakimbilia kwenye ndoa tafuta rafiki kwanza akishakufeel ni rahisi kukubali cause hatopenda kukupoteza.ila hata wanaume hawako real vilevile.

Ninacho shangaa kwako ni kimoja 2. kwa utafiti wangu unaonesha kwasasa 90% ya wanawake wanazitafuta ndoa kwa kila hali tena wanakubali kuwa watumwa ktk ndoa zao. so ww unakuwaje hivyo au sera hazi eleweki? kuwa muwaz kwa bint atakuelewa. ila fanya haya mawili.

1- Unapo mtaka bint muelzee jinsi ulivyo na sivyo utakavyo usiwe kama askar ktk mapenz amri hazistahiki ktk mapenz kuwa muelewa ili akuelewe.

2- Kama madada au mabibi wapo usisite kuwatumia kama unajiona sera hauna ila wape vigezo uvitakavyo. ila juwa mke hujengwa kwa miaka ni sio mwaka na majenz mengine huendelea ndani ya ndoa. nakutakia matafuto mema

wewe ndo muongo na wala you are not husband material. Ukisikia mwanaume analalamika 'sijui ooh nimetumia pesa nyingi na muda mwingi, sijui ktk expensive restraunts' ujue huyo si mwoaji. So brother ujue kuwa hao wanawake unaowaita wa mitandaoni, ndo hao hao wako kwenye real world. Au unamaanisha kuwa wanawake wa mitandaoni wanaishi katika dunia ya kusadikika?

Na inaonekana unadhani muonekano wa nje unaakisi ule wa ndani. Kumbuka methali isemayo "uzuri wa mkakasi.........." acha kutumia pesa zako kama kigezo cha kuwapata wanawake, utaumizwa, at the end of the day utabaki kuitwa buzi aka mshefa. Ni hayo tu.

Do the women u dated think 'uko fine'? Pass them a questionairre! Or rather kama una best girlfrien (sio lover) mwambie akupe strength na
weakness zako!

Can volunteer dat for sure,

Mimi ni kijana mtanashati, urefu wangu ni 6'2, na niko physically in a very good shape sio mnene wala sijakondeana sababu ya gym na kuzingatia nini ninakula

Hiki ndicho kinachokuponza mkaka. Ujue siku zote wanawake hatupendi mwanaume wa kujishebedua na kujisifia na kujiona yeye ni mzuri. Keep them for yourself. Mapenzi ni innermost feeling ambazo huwa zinajengwa kwa muuda sana pengine hutokana na mazoea na urafiki. sasa wewe kama unajiona mzuri na unatafuta mzuri mwenzio, ndo hapo unaposhindwa kuona kwa macho ya kawaida ukatumia hadithi za Cinderella kumtafuta mwenza.

Acha kujisifia unapotafuta mwenza, acha kujishebedua na hii imekuwa tabia ya wakaka wengi wa .com, hapo ndipo utampata wa kufa na kuzikana naye.

siku moja nilijishusha hadhi nimekuja na bajaj demu akaingia mitini

Hizo ndo fujo sasa, be real urself. Unaishi kitamthilia zaidi. Eti demu kama wataka olewa fasta ukienda kwenye kidate chukua tax kama una gari then dont show who ur belittle urself, why? Serious date akijua ulidanganya dat will not work, on the other side majigambo kibao wakati siyo.......

I think uko too selective or you've serious problems mkuu, yani in real word hujaona..ukajaribu online dating wapii!!..try heaven🙂)) ha ha ha

Kama vipi jivutie hata housegirls ni wazuri tu,kwanza wanaheshima pili wanajua nini maana ya mume na nini maana ya maisha,usidharau.

mimi wa ukwel nipog.find me

I think uko too selective or you've serious problems mkuu, yani in real word hujaona..ukajaribu online dating wapii!!..try heaven🙂)) ha ha ha
dada nimeshasema huko nyuma I'm not too picky. Kwenye real world nimeshatafuta sanaaa ndi hivyo naishia kukutana na party animals!!

sijajisifia ila nimejibu swali la wasifu wangu kama ambavyo jamaa ameniuliza

Pesa sio tatizo, mimi nasaka penzi la ukweli. Nasikitikia muda wangu tu unavyopotezwa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…