Wanawake wa Online Dating Mbona Waongo???

Thanks mkuu!
 
Umeishiwa na mistar, online unatafuta waliokosa kama ww! Pole
 
Pesa sio tatizo, mimi nasaka penzi la ukweli. Nasikitikia muda wangu tu unavyopotezwa


pengine na wao wanasikitika hivyo ivyo kama wewe kwa kuwapotezea muda, coz ungekuwa husband material kati ya hao wote uliowadate, ungeshapata mke na ungeshaitwa mume wa fulani. Kama wachangiaji wengine walivyosema jitathmini wewe kwanza coz haiwezekani wewe mtu mmoja usikubaliwe na hata mmoja wa wanawake ulokutana nao. inawezekana uko too fake, vi2 ambavyo wanawake wengi hatuvipendelei
 
hapo kwenye red sio kweli mkuu.unaeza kutafuta partner online hata kamauko vizuri inategemea na mazingira mtu aliopo maybe hamna choice yako na hauko na access na outsiders
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…