Wanawake wa Rombo Wana nini?

Si rahisi kuweka bango hilo kutafuta mke tena wa kabila fulani specifically. Inawezekana kabisa nyuma yake kukawa na Agenda ingine isiyozungumzika. Mungu awalinde wadada wa rombo wasiingie kwenye huo mtego.
Huu ni utani wa mtaani tu, usichukulie serious.
 
Ila Warombo wa zamani sio sawa na siku hizi. Kuna wanaopewa talaka. Aende kijijini azungumze na wazee, watamuonyesha njia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…