Sehemu nyeti 😅Mnaonyeshana nini waungwana na sie mtuonyeshe 😥😹
Washee basi tuone na sisi 😹😹Sehemu nyeti 😅
Kabisa hawezi kuomba bila sababu ya msingi, atakuwa anajichukulia sheria mkono kupitia hiyo....Kwanini msionyeshane live mkikutana? binafsi mwanaume anayeomba hizo picha namuona ni mshenzi
Wanaoneshana katiba ya ccmMnaonyeshana nini waungwana na sie mtuonyeshe
Ndio maana mkikutana mnawasha camera, then zinafika public. Mazoea hujenga tabiaYaani hii imenitokea mara kibao ukimwambia basi nionyeshe kidogo wengi hata hawajiulizi mara mbili utasikia umeona,yaani afadhari sisi wanaume ndiyo tumebaki na aibu
Siku hizi hakuna antena kuna dish na ungo ungaunga hakuna tena pale azamtvUnaonyeshwa live bila chenga
Kwahiyo unaoneshaga siyo chukua namba ya Tumwesige umuonyesheHata wanawake wa zamani wangekuonyesha ni vile hakukuwa na video call
Who is that guy Tumwesige?Kwahiyo unaoneshaga siyo chukua namba ya Tumwesige umuonyeshe
Look up and you will see himWho is that guy Tumwesige?
Watupe na wajumbe tuone 😹Wanaoneshana katiba ya ccm