Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Sep 10, 2025 #41 Mambo yao waachie wenyewe... Cc: Mahondaw
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,954 Reaction score 80,256 Sep 10, 2025 #42 waifu material said: Kwanini msionyeshane live mkikutana? binafsi mwanaume anayeomba hizo picha namuona ni mshenzi Click to expand... Wakubwa mnaenjoy..
waifu material said: Kwanini msionyeshane live mkikutana? binafsi mwanaume anayeomba hizo picha namuona ni mshenzi Click to expand... Wakubwa mnaenjoy..
trudie JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 4,547 Reaction score 11,151 Sep 10, 2025 #43 Kumbe kuna kuonyeshana na hamtuambii....watu wana siri mno jamani
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 21,593 Reaction score 46,759 Sep 11, 2025 #44 To yeye said: Nilitaka niseme anaeomba ndiye zimebomoka zaidi Click to expand... Ni wote wawili, kwangu alietoa ndo kilaza pro max.
To yeye said: Nilitaka niseme anaeomba ndiye zimebomoka zaidi Click to expand... Ni wote wawili, kwangu alietoa ndo kilaza pro max.
To yeye JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 20,518 Reaction score 38,854 Sep 11, 2025 #45 Vishu Mtata said: Ni wote wawili, kwangu alietoa ndo kilaza pro max. Click to expand... Hakika
RoDrick RaY JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 1,806 Reaction score 2,723 Sep 11, 2025 #46 Nazan unamatatizo sio bure Umeomba kuoneshwa na wamekuonesha sasa utashangaa nini Muomba upewa