Wanawake wa siku hizi hawaaminiki - cheki hii stori

KML

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
861
Reaction score
133
mimi nna mpenzi wangu kwa miaka saba sasa,mimi nipo dar yeye alienda kusini kusoma,kiukweli natoa huduma zote vizuri ata yeye shahidi,siku nikaenda kumtembelea nkamfuma kwenye cmu anajamaa huko ata watu wakaniambia pia maana majirani tunafahamiana,kesi ikaenda nkamsamehe,mwaka jana nkamfuma tena na mtu uyo uyo yaan namsamehe zaidi ya mara tano namfuma namsamehe kwa mtu huyo huyo,sasa jamani mtu wa namna hiyo eti kisingizio chake hajawahi kukaa maisha ya alone thus Y anapata vishawishi eti jamani io ni sababu ya msingi kweli??mara ooh nashindwa kuelewa jamaa simpendi ila akinipigia simu najikuta napokea eti kama jamaa kamfanyia kitu anakubali tu bila kuelewa huu si uongo kbs
Sasa nimekuja kuamini usemi unaosema dont trust a women..
 
Ukiona manyoya.....ujue...imelillllllllllliiiiiiiwa
 
Maelezo yako yanajitosheleza kuonyesha kuwa mwanamke wako si mwaminifu kaka, umemfuma zaidi ya mara tano na mtu huyo huyo maana yake hata ukifunga ndoa naye jamaa ataendelea naye kama kawa! Inawezekana huyo dada hana mapenzi ya dhati na wewe na ndiyo maana anadiriki kukusaliti mara kwa mara bila hata uoga, au wewe ulimlazimisha kuwa naye. Jiangalie sana kaka, wanawake hawajaisha fanya maamuzi magumu mapema kabla hujaletewa magonjwa yasiyo na tiba!

Pole lakini.
 
dah mwana unamoyo sana, mara mbili tu ilitosha kumwaga,,,asikudanganye kitakachofuatia hapo ni kubeba mimba ya huyo jamaaa, so wahi kabla hujaaibika.
 
dont trust any1...nt only women
wote awaaminiki thou kuna watu wanaaminika tu
mkipanga maagano yanasimamiwa regadless uwe mbali au mpo pamoja 24/7

pole kwa bahat mbaya

mwache aende
si wako uyo
tulia wako yu njian ...atakuwa mzuri na mwaminifu pia
mshukuru mungu uenda kakuepusha na mengineyo..U NEVER KNOW.
 
Na wewe huyo demu amekuwekea dawa gani maana kama umeona kuda manyoya
jua tayari mara tano we si wakawaida
 
pole mkuu, hapo anadhihisha kuwa haweza kuvumilia hata km ukienda safari. piga chini fasta kabla hujaingia kwenye ndoa!
 
mimi nna mpenzi wangu kwa miaka saba sasa,mimi nipo dar yeye alienda kusini kusoma,kiukweli natoa huduma zote vizuri ata yeye shahidi,siku nikaenda kumtembelea nkamfuma kwenye cmu anajamaa huko ata watu wakaniambia pia maana majirani tunafahamiana,kesi ikaenda nkamsamehe,mwaka jana nkamfuma tena na mtu uyo uyo yaan namsamehe zaidi ya mara tano namfuma namsamehe kwa mtu huyo huyo,sasa jamani mtu wa namna hiyo eti kisingizio chake hajawahi kukaa maisha ya alone thus Y anapata vishawishi eti jamani io ni sababu ya msingi kweli??mara ooh nashindwa kuelewa jamaa simpendi ila akinipigia simu najikuta napokea eti kama jamaa kamfanyia kitu anakubali tu bila kuelewa huu si uongo kbs
Sasa nimekuja kuamini usemi unaosema dont trust a women..

Wanawake wanawapenda sana wanaume wa aina yako, ninaamini mahusiano yenu yatadumu sana. Hebu nisaidie namba zake 'nimkanye':wacko:
 
Hivi mbona unaumiza kichwa namna hiyo. Kubali yaishe na tafuta namba nyingine. Ziko nyingi zinakusubiri. Mapenzi yasikutese
 
Kweli una moyo mkuu
Five times na the same guy na bado unajiuliza jawabu
Kweli una myo sana
Ulipaswa ujue mapema na alipokuambia kuwa hawezi kuwa mwenyewe anahisi upweke ni kwamba hata ndani ya ndoa ukisafiri baada ya mwezi tuu utakuta mtu ndani
Pole sana
Jiamini na hakuwa wako huyo tafuta wa kwako
 
Achana naye huyo utakuja kulea mtoto asiye wako,inawezekana huyo jamaa ana ufundi flani ndio maana anashindwa kumtema,anyways lakini kama unampenda sana muulize huyo jamaa anamfanyia mautundu gani na wewe uyafanye ili aachane naye.:sleepy:
 
au na ww ni mwanamke???hilo kosa analolifanya halina mara mbili,atakapofanya anatakiwa kuachwa..full stop...ww ndiye mwenye matatizo
 
Hakuna anayeaminika siku hizi heading yako haiko sawa.
 
Kweli una moyo mkuu
Five times na the same guy na bado unajiuliza jawabu
Kweli una myo sana
Ulipaswa ujue mapema na alipokuambia kuwa hawezi kuwa mwenyewe anahisi upweke ni kwamba hata ndani ya ndoa ukisafiri baada ya mwezi tuu utakuta mtu ndani
Pole sana
Jiamini na hakuwa wako huyo tafuta wa kwako

Achana nae hataweza kuwa muaminifu tena huyo. Ukijidai kuvumilia kuna kila dalili ya kukukuta makubwa zaidi.
 
mimi nna mpenzi wangu kwa miaka saba sasa,mimi nipo dar yeye alienda kusini kusoma,kiukweli natoa huduma zote vizuri ata yeye shahidi,siku nikaenda kumtembelea nkamfuma kwenye cmu anajamaa huko ata watu wakaniambia pia maana majirani tunafahamiana,kesi ikaenda nkamsamehe,mwaka jana nkamfuma tena na mtu uyo uyo yaan namsamehe zaidi ya mara tano namfuma namsamehe kwa mtu huyo huyo,sasa jamani mtu wa namna hiyo eti kisingizio chake hajawahi kukaa maisha ya alone thus Y anapata vishawishi eti jamani io ni sababu ya msingi kweli??mara ooh nashindwa kuelewa jamaa simpendi ila akinipigia simu najikuta napokea eti kama jamaa kamfanyia kitu anakubali tu bila kuelewa huu si uongo kbs
Sasa nimekuja kuamini usemi unaosema dont trust a women..

Ikisha kuwa "a" inakuwa ni "woman" na si "women", women ni plural ya woman. na hapo mwanzo ni "don't, ni "slang" ya "do not".
 
Back
Top Bottom