Wanawake wa siku hizi hawaaminiki - cheki hii stori

mimi nna mpenzi wangu kwa miaka saba sasa,mimi nipo dar yeye alienda kusini kusoma,kiukweli natoa huduma zote vizuri ata yeye shahidi,siku nikaenda kumtembelea nkamfuma kwenye cmu anajamaa huko

umewahi kumfuma physically au ni mambo ya simu tu?
 
piga chin unalemba nin wewe au kakupa kizizi
 
Acha utoto wewe,changudoa hasameheki hata mara 1,piga chini huo mzigo,utakufa na ngoma!
 
Mara tano?nalazimika kufikiri kwamba na wewe atakuwa amekubaini ukimsaliti au kutembea na wanawake wengine mara nyingi tu hivyo unashindwa kumfanya lolote! Mara tano? Mmmh au demu wako kama beyonce?
 

Rocky, sometimes kupenda ni ujinga
kupenda ni umbumbumbu
huyu hata umwambie nini ndo kaisha penda hivyo
imekula kwake
 

zaidi ya mara tano, huyo kakupa limbwata
 
kwene mit hakuna wajenz at me nawatafta waivo cwapat at napata vmeo 2napangwa mstar waschana kbao km jamhur ya wa2 wa chna.lakn uyo dem ndo anaharbu ama kwel lyf iz not fair
 
Hata wanaume nao ni vimeo vile lie.
 

usimlaumu, wewe ndio lofa
 
mie wala sioni cha ajabu hapo...just inevitable consequence ya long distance relationship...people get lonely and need some sexual healing wewe hupo mbali basi wakaribu anamkuna. long distance dont work kaka yaani hilo ukae unalijua kabisa. sasa ndege wako huwezi mfuga mbani na nyumba yako...mnakabana mashati hupo hapo.
 
oooh solembaaaaaaa,samehe saba mara sabini, hapo bado kabisa una kata tamaa. tulia nae usijal ni upepo tu utapita.
 
Naanza kuamini duniani kuna kitu kinaitwa LIMBWATA
Mara 5!!!!!!!??????
 
Naanza kuamini duniani kuna kitu kinaitwa LIMBWATA
Mara 5!!!!!!!??????

Ukistaajab ya Bushoke,
Utayashangaa ya huyu bwana!
Mara moja tu ilimtosha kumpiga chini!!
 
Unasomesha dem???? Ni ki2 kibaya hcho kaka..... Fikicha macho utapata jawabu!!!!
 
watu wengine bana..sasa kinachoufanya ung'ang'ane na huyo mwanamke ni kitu gani ??? hivi hakuna wanawake wengine au
 
ishu siyo kutokumuamin mwanamke manake hata wanaume hawaaminiki. but ni ishu ya mtu binafsi kwamba siyo mwaminifu pia waweza endelea kumamehe manake nakuambia kama huyo ndio umepangiwa awe wako wa moyo basi lazima tu atakuwa.
 
pole mkuu, hapo anadhihisha kuwa haweza kuvumilia hata km ukienda safari. piga chini fasta kabla hujaingia kwenye ndoa!

Unasema akienda safari!!!!!!!!!!!!!!? akienda hata kuoga. Pole ndugu na bado haujachelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…